TETETSI: Ndani ya masaa 48 kuna kifaa kinatua MAN UTD

TETETSI: Ndani ya masaa 48 kuna kifaa kinatua MAN UTD

Kwa mfumo wa Mourinho, hamna kitu kitakachoongezeka.
Amgeenda Liver ingemfiti zaidi, pressing ya klopp na Sanchez ni mzee wa ku press kuanzia mbele.
 
IMG-20180115-WA0061.jpg
 
He made wrong choice. Angeenda City ndio angalau angenyanyua kwapa. Labda kama kafwata mshahara mkubwa na si mafanikio kama kubeba makombe.

Hawezi kupata EPL akiwa na United, sababu ni kwamba City wataendelea kuitawala priemier league kwa muda. Ameshindwa kusoma nyakati.

Hawa ni baadhi ya wchezaji walioondoka Aseno na kwenda kunyanyua kwapa vilabu walivyokwenda.

Van presie
Clich
Sagna
Viera
Hendry
Leb
Song
Nasri

Sanchez namsikitikia kwa jasho analovuja anaishia kinyanyua kwapa kwa mick mouse cup kama anavyosema rafiki'ngu King Ngwaba.
Unaharibu majina ya watu,Hendry ndoo Nani ii? Sema Henry,Leb sema Hleb
 
Miki akitua arsenal anaenda kung'aa kule,sema ndo hakulijua hilo b4
Shida ni kwamba haitaki arsenal anaitaka borussia dortmund na ndio linalochelewesha hilo dili lisikamilike hadi sasa
 
Masaa 48 yameshapita Bado Kimya! Na ndiyo kwanza Mkhitaryan anaikataa Arsenal! Unaonaje Huu Uzi ukaufuta Kabla Haujakuumbua?
PATO8221
 
huyo ndo anafaa kwenye basi,
1. ni fighter timu ikishambuliwa sio mzigo, atasaidia tukipaki basi
2. ana speed ya kuanzisha counter attack
3. anajua kufunga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa Pogba je? Wakati anasajiliwa mlishajipaga ubingwa tayari Ila saizi mnapumulia mipira
 
Man U kama CCM acha akale hizo hela za bwerere ila najua impact yake kwa Man U itakuwa kidogo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa Pogba je? Wakati anasajiliwa mlishajipaga ubingwa tayari Ila saizi mnapumulia mipira
kwani pogba ana nini? majeruhi yake na ile red card vimechangia tuwe nyuma ila akiwemo uwanjani mziki wake kila mtu anaujua.

Pogba amecheza mechi 13 tu lakini anaongoza kwa assist ulaya nzima akifungana na kina de bruyne waliocheza mechi kibao, kina neymar etc.

jamaa anadominate karibia kila mechi anayocheza, anapiga pasi ndefu, anakaba, anakimbia kama winga, anapiga chenga kama winga, ana nguvu, mashuti ya mbali anaweza, anapiga vichwa kwenye mipira iliokufa kama beki wa kati ama striker, bila kusahau yale magoli ya ku chop kama messi.

ni mtoto wa pale pale manchester tuliemkuza wenyewe kijana mdogo bado miaka 24 hata haja peak, King of DaB empire POGBOOM!!!!!!
dd6a90382fe7b8cd3b07029fb0adcb95.jpg
 
Back
Top Bottom