TETETSI: Ndani ya masaa 48 kuna kifaa kinatua MAN UTD

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa Pogba je? Wakati anasajiliwa mlishajipaga ubingwa tayari Ila saizi mnapumulia mipira
Makelele ya mashabiki hua hayasumbui ila wanaojua mpira wanajua kinachoendelea
 
Kwa huo umri tayari Messi alikua na Ballon Dior 2.
 
Kwa huo umri tayari Messi alikua na Ballon Dior 2.
kwa hio ukiwa huna mafanikio ya messi wewe ni mbaya?

neymar,suarez, kroos, modric, buffon, de bruyne etc wote hawana issue sababu hawana baloon D or wakiwa na miaka 24?

kila mwaka Pogba hakosi kikosi cha dunia toka aanze kucheza first team. akikosa kikosi cha kwanza reserve atakuwepo.

even msimu wa mwaka jana ambao haters mlikuwa mnaongea sana pogba alikuwepo reserve ya kikosi cha dunia.

means kwa mwaka jana kwenye midfield 6 bora duniani yeye ni mmoja wapo. na speed ya mwaka huu sitashangaa akirudi tena first eleven.
 
Sanchez amegoma kujiunga team yenye mkufunzi mwehu ya united
 


Mkuu Viera na Henry waliwahi nyakua vikombe wakiwa Arsenal kabla hawajaamua kuhamia timu zingine. Angalia kumbukumbu zako vizuri.
 
Mkuu ufafanuzi mzuri ila wakti unawafafanulia watu lazima ujue kuna mashabiki na wapenzi ni vitu viwili tofauti kabisa, mpenzi wa mpira wa miguu atakua amekuelewa ufafanuzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…