TETETSI: Ndani ya masaa 48 kuna kifaa kinatua MAN UTD

Mkuu Viera na Henry waliwahi nyakua vikombe wakiwa Arsenal kabla hawajaamua kuhamia timu zingine. Angalia kumbukumbu zako vizuri.
Uko right. Hilo nalijua. Walisoma nyakati wakaamua kuondoka. Kumbuka wakati ule Arsenal walikuwa kwenye project ya ujenzi wa uwanja mpya huu wa sasa Emirate. Hivyo badget ya usajili ilikuwa finyu kiasi cha kushindwa kusign world class player.
 
Hii taarifa c ya kweli. Nemetembelea site mbali mbali sijaona hii kitu.
Achana na hao SCAMS ...wanafikiri watanzania wote wajinga hatuna elimu ya kufuatilia kwemye mitandao inayotoa habari za usajili kila dakika..
 
Uko right. Hilo nalijua. Walisoma nyakati wakaamua kuondoka. Kumbuka wakati ule Arsenal walikuwa kwenye project ya ujenzi wa uwanja mpya huu wa sasa Emirate. Hivyo badget ya usajili ilikuwa finyu kiasi cha kushindwa kusign world class player.

Pamoja sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…