pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Dar nzima ndio akina nani?Ubaya wa Makonda ni upi?.
Ikiwa Dar nzima ilimpenda, kawa KM Mwenezi, kapendwa haswaa.
Kwako ubaya wake ni nn??
Sema nyie machawa mnampenda kwa kuwa akili zenu sio rizki!