Teuzi na tangua za Makonda ni wazi kuwa hafai ila kwasababu zisizoeleweka vizuri mamlaka zinajikuta zinamteua japo zinajua kuwa hafai

Nitajie kiongozi nchi hii ambaye amesimama kwa masilahi ya umma na si kwa masilahi yake binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…