Teuzi na Tenguzi za Viongozi Mabalimbali Zilizofanywa na Rais Wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (2005-2015)

Teuzi na Tenguzi za Viongozi Mabalimbali Zilizofanywa na Rais Wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (2005-2015)

Toa mapendekezo sasa, sio kupinga tu.

Nilishamwandikia Kikwete mapendekezo yangu moja kwa moja maana alipoanzisha website alidai kuwa nia yake ni kupokea maoni ya wananchi. The guy sio tu kuwa hajafanya chochote, ila hata kujibu kuwa amepokea maoni yangu!

Kikwete alipokea maswali ya watanzania wa USA in advance ili akutane nao, alivyogundua watu wako serious na mikataba mibovu akaingia mtini. The guy hajali wengine wanasema nini no wonder anatumbua mabilioni ya watanzania kwa kuvumbua dunia
 
mwafrika, kusema ukweli tangu JK aingie madarakani jambo hili alilofanya leo limenifurahisha sana,. nakubali kwamba anayo matatizo na mapungufu mengi sana, lakini i think it's very convinient to appreciate what he does and praise him.

Hivi Zitto alipofukuzwa bungeni mlitaka JK aingilie kati na kumrudisha. Nini maana ya nguzo tatu za mamlaka ya nchi?

This is the more than kamati. It is a strong message to Spika and the wabunge kwamba what they did (to expel Zitto) was wrong.
 
Nurujamii,

Ulishaambiwa hapa JF hakuna anayependelewa na ndio maana wale wanaopondea JF kila mara kuwa ni kijiwe cha CHADEMA walichemsha maana hapa kila mtu hata kina Mnyika hupata dosier yao.

Issue hapa ni tahadhari hata kwa huyo Zitto kama akikubali huo uteuzi wa Kikwete kujua kuwa hakuna ize ride hapa. Akikubaliana na ushenzi na spin za kina Mwakyembe na Mark Bomani atapata the same standard toka kwa JF members.

So far, issue ya kumweka Mwakyembe na Mark Bomani kwenye hii kamati ni ushahidi tosha kuwa usanii unatumika hapa. Hii kamati imepewa onyo na wanaJF kuwa watanzania hawataki usanii kwa hiyo kila kinachosemwa hapa ni muhimu!

Mwafrika wa Kike,

Naona hata angewekwa Yesu kwenye hiyo kamati bado ungelalamika. Ungesema mbona hakuwekwa Mtume?

Hii ni hatua nzuri na inabidi kuipongeza. Kuwepo kwa Dr. Mwakyembe kuna matatizo gani? Pamoja na matatizo yake lakini Mwakyembe ana uwezo. Alipokuwa anatetea NMB mbona watu wote walikuwa wanamshangilia? Au Bomani ana matatizo gani mbona useme hivyo?

Lazima ifike mahali tuache kulalamika. Kinachotakiwa sasa ni kuwatumia watu kama akina Zitto ili kuwapa mawazo na maoni yetu kwa faida ya nchi yetu.
 
Wana JF nadhani tufike mahali tutumie Busara. Tukitaka kila mtu awepo kwenye kamati basi kutakuwa na watu wengi saaana. Ikumbukwe kwamba hii kamati

itatumia pesa za walipa kodi kuweza kutekeleza majukumu yake watu wakiwa wengi peas zaidi.

ikumbukwe kwamba hii kamati haitakaa ndani ya chupa kujifungia huko wakati inafanya kazi yake. Itahitaji ushauri wa kitaalum kutoka kwa watu wengine pale inapobidi kufanya hivyo

Hivyo basi badala ya kuanza kuponda kama huu ni wakati wa kuwapa inputs ili wanapifanya mchakato huo wajue ni vitu gani vimekosekana viongezwe, vipunguzwe, n.k

Nawakilisha hoja

Ulichofanya hapa ndio kinatakiwa pia, wewe sifia na kutoa mapendekezo yako at the same time ukiwaruhusu pia wale wengine wanaotaka kupondea kufanya hivyo.

Kama wewe unaona Kikwete amefanya vyema kumweka Mwakyembe, Cheyo, na Mark Bomani kwenye hii kamati basi sema hivyo na usifie kwa nguvu zako.

wale watakaoona tofauti pia watatoa maoni yao. So far Hii kamati haitakuwa tofauti na ile iliyokuwa inapitia mikataba in the first place wakati Karamagi na Lowasa wakisaini mkataba wa Buzwagi London
 
JK anacheza tu kuendelea kufuja pesa ya walipa kodi. Tumechoka na alinacha, hizi kamati uchwara ambazo brief yake inakuwa haijitoshelezeki (au siri) na kisha yeye kupewa report na kuiweka kwenye makabati na kuozea huko magogoni.

Hivi ni kitu gani kigumu kwa rais kuchukua uamuzi wa kusitisha mikataba yote mibovu with immediate effect na kuwa na mpango mpya kwa wale wanaopenda na wale wasiopenda watupeleke mahakamani kutafuta haki yao. Hatupati faida kabisa na haya mazingaombwe.

Mwaka jana wakati tunapiga kelele za Richimondulian walisema ni kelele za mlango leo hii wanaunda kamati tena nje ya bunge ambalo ndio lilikuwa sahihi kufanya mambo kama haya, kulikoni? JK na usanii wake hawezi kufanikiwa hadi pale atakapoacha kubeza na kuangalia maslahi ya Tanzania. Mafisadi wamejaa tele tena bila aibu wanaendelea kula kama vile pesa ya walipa kodi iliwekwa alama walipozaliwa kwamba ni ya kwao. Sasa rais ameshindwa kuwawajibisha Karamagi et al ataweza kwenye hili la mikataba? Ataweza kuchukua hatua wakati anafahamu fika pesa ilivyoliwa na kutafunwa na wajanja kutoka BOT?

Haya ni yale ambayo sisi ambao hatuna wafanyakazi wa ziada wa kutuletea maswala (habari) mbali mbali, vipi yeye ambaye usalama wa taifa wanampelekea habari kila uchwao kuhusu nini kinaendelea? Wakati huo huo wanalipwa na pesa ya walipa kodi. JK ACHA KAMBA, WASHIKISHE ADABU MAFISADI NA FUTA MIKATABA YOTE MIBOVU NDIO MAANA YA KUWA RAIS KUCHUKUA MAAMUZI MAGUMU.
 
..

Hivi Zitto alipofukuzwa bungeni mlitaka JK aingilie kati na kumrudisha. Nini maana ya nguzo tatu za mamlaka ya nchi?

....

Naona sasa unataka ku-impune my intelligence, ni wapi uliona nikidai kuwa Kikwete aingilie issue ya Zitto kufungiwa bungeni au unataka kuweka maneno kwenye maandishi yangu?

Nimeuliza swali simpo kwa wale waliomsifia Mwakyembe kuwa alikuwa wapi wakati wanasheria wengine maarufu nchini wakisema kuwa bunge limekosea kumfukuza zitto?

Ukitaka kusifia anachofanya vasco da gama (Kikwete) wewe fanya tu ila mi naona hapa anazidi tu kuchemsha!
 
Mwafrika wa Kike,

Naona hata angewekwa Yesu kwenye hiyo kamati bado ungelalamika. Ungesema mbona hakuwekwa Mtume?

Hii ni hatua nzuri na inabidi kuipongeza. Kuwepo kwa Dr. Mwakyembe kuna matatizo gani? Pamoja na matatizo yake lakini Mwakyembe ana uwezo. Alipokuwa anatetea NMB mbona watu wote walikuwa wanamshangilia? Au Bomani ana matatizo gani mbona useme hivyo?

Lazima ifike mahali tuache kulalamika. Kinachotakiwa sasa ni kuwatumia watu kama akina Zitto ili kuwapa mawazo na maoni yetu kwa faida ya nchi yetu.

Mtanzania,

Kama wewe umeona kuwa kilichofanyika hapa ni vyema una kila sababu ya kusifia kama vile mimi nilivyo na kila haki ya kupondea huu usanii wa Kikwete hapa.

Tangu issue ya NMB, Mwakyembe amekuwa wapi wakati mikataba mingine na wizi wa BOT ikiendelea? The guy is flawed like every other fisadi nchini na I said it here on JF!
 
Hapo anajaribu kuwa smart.Kama kweli JK ana nia ya dhati mi nampa tano.Kumbe Jk alimuona Zitto alikua na point ila sasa mheshimiwa rais uwaambie hao manazi waliomshupalia Zitto bungeni next time wajaribu kuweka maslahi ya taifa mbele.

Lakini kama anaweka usanii itamcost kuliko anavyotegemea.
Hapo nakufagilia mzee,

Hili la kumuweka Cheyo lina utata sana.Kwanini iwe Cheyo kwani hapo mimi naona kama mbunge wa upinzani yupo mmoja tu.Nadhani pia Jk kumweka cheyo hiyo ni strategy fulani fishy anataka kuachieve.

Hebu ngoja tumpe cheyo muda tutamsikia

Huyu cheyo hata mimi sina imani naye maana pamoja na kashfa chungu nzima za viongozi wa chama na serikali amekuwa kimya mno na kimya kirefu kina mshindo. Tusubiri tuone.
 
usanii mtupu katika hiyo kamati..
natoa wasifu mdogo wa watu waliochaguliwa katika kamati hiyo,kesho ntamwaga zaidi..
bwana MACHUNDE,ni mwajiriliwa wa kampuni ya karamagi inaitwa tradex Investment.wametaja soko la hisa ili kuwahadaa watz,
bwana maige si mwanasheria na hana uzoefu wowote ktk sekta ya madini,ni Rafiki mkubwa wa mh. ngeleja<naibu waziri-madini>.
bwana cheyo,toka arudushiwe nyumba yake amekuwa kada invisible wa sisiemu,
itaendelea..
 
JK anacheza tu kuendelea kufuja pesa ya walipa kodi. Tumechoka na alinacha, hizi kamati uchwara ambazo brief yake inakuwa haijitoshelezeki (au siri) na kisha yeye kupewa report na kuiweka kwenye makabati na kuozea huko magogoni.

Hivi ni kitu gani kigumu kwa rais kuchukua uamuzi wa kusitisha mikataba yote mibovu with immediate effect na kuwa na mpango mpya kwa wale wanaopenda na wale wasiopenda watupeleke mahakamani kutafuta haki yao. Hatupati faida kabisa na haya mazingaombwe.

Mwaka jana wakati tunapiga kelele za Richimondulian walisema ni kelele za mlango leo hii wanaunda kamati tena nje ya bunge ambalo ndio lilikuwa sahihi kufanya mambo kama haya, kulikoni? JK na usanii wake hawezi kufanikiwa hadi pale atakapoacha kubeza na kuangalia maslahi ya Tanzania. Mafisadi wamejaa tele tena bila aibu wanaendelea kula kama vile pesa ya walipa kodi iliwekwa alama walipozaliwa kwamba ni ya kwao. Sasa rais ameshindwa kuwawajibisha Karamagi et al ataweza kwenye hili la mikataba? Ataweza kuchukua hatua wakati anafahamu fika pesa ilivyoliwa na kutafunwa na wajanja kutoka BOT?

Haya ni yale ambayo sisi ambao hatuna wafanyakazi wa ziada wa kutuletea maswala (habari) mbali mbali, vipi yeye ambaye usalama wa taifa wanampelekea habari kila uchwao kuhusu nini kinaendelea? Wakati huo huo wanalipwa na pesa ya walipa kodi. JK ACHA KAMBA, WASHIKISHE ADABU MAFISADI NA FUTA MIKATABA YOTE MIBOVU NDIO MAANA YA KUWA RAIS KUCHUKUA MAAMUZI MAGUMU.

Haya ndio maswali hata mie nauliza hapa. Usanii kila mahali, at one time wanasema kuwa PCCB imetoa report kuwa hakuna rushwa au matatizo katika mkataba wa Richmond, leo wanakuja na kamati ya kina Mwakyembe?

Zitto alidai kuundwa kamati huru na bunge wakakataa, leo hii Rais anaunda kamati kwa vile anajua kuwa yeye ndiye atakuwa na nguvu kwenye hiyo kamati na sio bunge kama vile alivyodai Zitto.

Kisha on top of that anawaweka cheyo , bomani na mwakyembe? what a flawed guy!
 
mwafrika, kusema ukweli tangu JK aingie madarakani jambo hili alilofanya leo limenifurahisha sana,. nakubali kwamba anayo matatizo na mapungufu mengi sana, lakini i think it's very convinient to appreciate what he does and praise him.

Hivi Zitto alipofukuzwa bungeni mlitaka JK aingilie kati na kumrudisha. Nini maana ya nguzo tatu za mamlaka ya nchi?

This is the more than kamati. It is a strong message to Spika and the wabunge kwamba what they did (to expel Zitto) was wrong.

Mzee tusishangilie sana kuhusu JK kuteua kamati. TUsubiri ripoti yenyewe na tuone ufuatiliaji wa mapendekezo. Yasije yakawa ya kasi mpya nguvu mpya na hari mpya mzee. Tuvute subira kabla ya kupongeza na kushangia. Ni bora tuipe kamati changamoto kuliko sifa ambazo zinaweza zisitufikishe mbali.
 
Haya ndio mambo tunayataka watanzania unatoa ahadi after few day inakuwa implemented sio kila lisemwalo linategemea hadi budget.Hongera JK kwa kutambua umuhimu kwa kucheck suala la madini but Profesa Shivji ni muhimu sana kuwa katika hii kamati ni msaada mkubwa sana.
 
Ulichofanya hapa ndio kinatakiwa pia, wewe sifia na kutoa mapendekezo yako at the same time ukiwaruhusu pia wale wengine wanaotaka kupondea kufanya hivyo.

Kumponda aliunda kamati bado haisaidii maana haibadilishi chochote pia kusifia hiyo kamati bado hailet mabadaliko. kitakacholeta mabadiliko ni utendaji wa kama yenyewe na wanaJF kumbuka wanaJF tunaweza kuwa part ya hii kamati indirectly.

Otherwise natoa wito wa watu wanaopinga mtu fulani kwenye hiyo kamati walau atoe sababu 3 hadi 5 za kumpinga

Nawakilisha
 
Kamati au tume au whatever the heck waliita iliyokuwa inapitia mikataba ya madini wakati wa Buzwagi ukisainiwa London ilikuwa na tofauti gani na hii kamati mbovu ya Bomani, Mwakyembe, na Cheyo?
 
Soma tena wapingaji walichoandika uone kuwa most of them wanatoa sababu. Bahati mbaya hapa JF huwa hakuna research assistants wa kukusaidia katika hili mkuu!
 
kama unakumbuka ilipotolewa hoja ya ufisadi,nani aliyekuwa wa kwanza kumtetea muungwana?
jaji bomani..
hapa kuna watu wameingizwa makusudi tu,mhe. zitto na mhe. mwakyembe,
wengine wote watu wa usalama..
msitegemee jipya,na kwa taarifa za kuaminika hawa wote wamependekezwa na karamagi..
hii ndio kamati huru aliyosema Muungwana?
terms of reference ni kutoa mapendekezo ya katika sheria ya madini!hivi wataalam
STAMICO wamekufa?
to b continue..
 
usanii mtupu katika hiyo kamati..
natoa wasifu mdogo wa watu waliochaguliwa katika kamati hiyo,kesho ntamwaga zaidi..
bwana MACHUNDE,ni mwajiriliwa wa kampuni ya karamagi inaitwa tradex Investment.wametaja soko la hisa ili kuwahadaa watz,
bwana maige si mwanasheria na hana uzoefu wowote ktk sekta ya madini,ni Rafiki mkubwa wa mh. ngeleja<naibu waziri-madini>.
bwana cheyo,toka arudushiwe nyumba yake amekuwa kada invisible wa sisiemu,
itaendelea..

Mzee endelea kuleta mambo nafikiri Zito atabaki peka yake.
 
Kamati au tume au whatever the heck waliita iliyokuwa inapitia mikataba ya madini wakati wa Buzwagi ukisainiwa London ilikuwa na tofauti gani na hii kamati mbovu ya Bomani, Mwakyembe, na Cheyo?

Tofauti ni kwamba pesa ya walipa kodi inaendelea kuteketea na wao safari ndio kwanza imeanza.
 
Back
Top Bottom