Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Toa mapendekezo sasa, sio kupinga tu.
Nilishamwandikia Kikwete mapendekezo yangu moja kwa moja maana alipoanzisha website alidai kuwa nia yake ni kupokea maoni ya wananchi. The guy sio tu kuwa hajafanya chochote, ila hata kujibu kuwa amepokea maoni yangu!
Kikwete alipokea maswali ya watanzania wa USA in advance ili akutane nao, alivyogundua watu wako serious na mikataba mibovu akaingia mtini. The guy hajali wengine wanasema nini no wonder anatumbua mabilioni ya watanzania kwa kuvumbua dunia