TEUZI: Rais Samia Suluhu afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali Novemba 13, 2021

Ukiwa Rais wa Tanzania usipokuwa makini utafanya kazi ya Teuzi miaka yote mitano. Nakumbuka Kikwete mpaka siku ya mwisho aliteua, bahati mbaya mteule akawa wa kwanza kutumbuliwa.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

Acha wivu wewe....
Mama Endelea Kuteu...Huenda Siku moja nami Ukanikumbu[emoji3516][emoji41][emoji120]
 
Ila Kuna Taasisi nyingine chini ya Wizara ya Nishati hazina Bodi huu mwaka wa 5 Sasa Duu!
Inawezekana Mama ana Mambo Mengi amewasahau[emoji3516][emoji30][emoji23][emoji41]
 
Kuna nafasi kwa sasa hadi uwe Dkt au Prof ndio utaweza kuzipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…