TEUZI: Rais Samia Suluhu afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali Novemba 13, 2021

Dr Isaka amerudi baada ya zimwi la fao la kujitoa kuondoka naye SSRA kama sijakosea wakati wa marehemu.
 
Angalau kawakumbuka wakristo na makabila ya bara....maana teuzi zake ilikuwa ni watu kutoka kanda ya pwani, visiwani & waislamu.

Turuka & Katunzi - Kagera/Haya
Shayo - Kilimanjaro/Chaga
Huyu Katunzi ni mtoto wa Dk. Naomi Katunzi ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu. Ukiangalia teuzi hizi zinazunguka miongoni mwa watu walewale na vizazi vyao.
 
Usilolijua

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…