TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

Mkuu Yohane, hebu tupe wasifu wa huyu Mzee Mgaya anayeikonga roho yako ili tupate kujua zaidi kuhusu elimu, uzoefu, weledi, mafunzo ya kazi, ujuzi na stadi zake mbalimbali ili tupate kumtambua vyema kwa kina.
 
11 May 2021

Wakili aliyefungwa kwa uhujumu uchumi afunguka mengi,; asema watuhumiwa wana imani na Rais Samia Suluhu Hassan


Wakili wa kujitegemea wa Mahakama Kuu nchini Peter Madeleka, amesema Sheria ya makosa ya uhujumu uchumi,utakatishaji fedha,na mwenendo wa makosa ya jinai inamapungufu makubwa na imekuwa ikitekelezwa kunyume na Bunge lilivyokusudia wakati wa kuzitunga.

Source : Mwananchi digital


Soma zaidi kuhusu DPP Historia ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka |Ofisi ya Taifa ya Mashtaka

 
Kitu hujui uliza. Ni kwa vile alimoalia kooni sethi ambaye alitolewa kafara na JK! Subiri uone movie nzima sasa

Watu Wengi hawajui kuwa Mzee Rugemalila na wakina Kitilya wako gerezani wanaozea huko kama mbuzi wa kafara wa Kikwete; na bado watu wanamsifia kuwa alikuwa mtawala mzuri!! Kikwete aliitosa ile rasimu ya Katiba ya Warioba kwa kuogota kuwa kama ingepita yangempata yanayompata rafiki yake Zuma kule bondeni!! Angeshtakiwa kwa STATE CAPTURE ya jinsi alivyowawezesha wakina HOME SHOPPING CENTRE kuhujumu uchumi wa nchi kwa muda wote wa utawala wake!!
 
Kwa mara ya kwanza naona mtu anayeifahamu nchi hii. Bravo, usisahau ufisadi katika madini ulianzishwa na JK akiwa waziri wa madini. Kuna mwingine anayeijua hii nchi ambaye ni Mchambuzi . Hata mzee Ruksa hawezi kukwepa IPTL hilo ni lake. Tuishie hapo ila Samia asipokuwa mwangalifu na JK mwisho wake ataujutia.
 
Mama safisha uc hafu wote wananchi wanyonge wapate haki zao ....safisha wote waimba mapambio ya jiwe
 

Kwisha habari yake. Mdini sana huyu
 
Mbona hawataji hayo madudu ili yapimwe kwa mujibu wa kanuni na sheria!!
 
Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Mlizoeshwa vibaya na yule mungu wenu alikuwa anataka kila kitu afungue yeye hadi choo cha shimo moja ili sifa na utukufu ziende kwake ,

uongozi haupo hivyo we msukuma mshamba ndio maana kuna mawaziri watafanya kazi hiyo .
 
Jana Rais Samia Suluhu Hassan kateua Majaji 7 wa Mahakama ya Rufani na 21 wa Mahakama Kuu. Jumla ni 28.

Jana nimesoma mitandao ya jamii yote maarufu katika mambo ya kitaifa na kisiasa. Ni Jaji mmoja tu Biswalo Mganga aliyelalamikiwa kuwa siyo uteuzi "safi" na wanasema Mama kakosea.

Hiyo basi kama kapata 27 kati ya 28, hiyo ni sawa na na kupata 96.42% au A+ kwa grading au distinction.

Tumpongeze Rais Samia Suluhu Hassan kwa hili hata kama hajakidhi kwa Biswalo Mganga aliyekuwa DPP kwa matarajio ya wengi. Najua hata Biswalo Mganga mwenyewe anajishangaa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
 
Wafuasi wa kibwetere
 
Mheshimiwa Rais katenda haki sana, uaniona Diversity ya Tanzania katika teuzi za majaji . Kwa Bwana yule ungeona jinsia moja zaidi, kabila moja na dini moja. Heko ma SSH.
 
Kabla ya kusifia tupate majibu ya haya yote.

Vigezo gani muhimu hutumika kuteua majaji?

Hao walioteuliwa wana historia gani muhimu katika kutoa haki kwenye mhimili wa mahakama?

Idadi ya majaji wa mahakama kuu na ya rufaa inaamuliwa na nani?
 
Nimpongeze mama Rais, wanyaki kina Bujibuji wamo, kanda ya ziwa wamo, wakristu, waislam, naamini kabalansisha huku akitizama uwezo wao katika kufanya kazi.

Ila Biswalo hiiiiiiiiiiiiiiiii!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Una maanisha nini sasa? Mganga ni mtu mzuri wa kupewa utumishi wa umma ameonea na kuweka watu magerezani leo aje kuwa Jaji? shame on you
 
CHADE

CHADEMA inaingiaje hapa?

Watu wanaongelea issue ya Biswalo Maganga kuwa judge wa mahakama kuu we we unahamisha mada.!!

Anzisha thread ya kuilalamikia CHADEMA tukuelewe mkuu.
 
Hebu rudi kwenye akili yako kwaza achana na mengine,Kwa akili yako ya kawaida Sabaya na makandokando yake anafaa kuwa kiongozi wa umma? kumbuka watanzania sio wajinga na kama kuna jambo lililomshushia umaarufu mwendazake ni uteuzi wake wa watu kama, MAKONDA,SABAYA,MURO na wengineo wa sampuri hiyo,kama kuna jambo amewaachia basi ni jina baya lenye mkosi wa mbwa mweusi,litawatesa milele zote, Watu huwa hamjifunzi? tizama kinachoendelea kwa BISWALO baada ya kuteuliwa kuwa jaji nchi nzima inaunguruma,inaguna na ujue nchi ikiguna na mbingu zinaguna. Sijui kama mama atastahimili kuwabeba hawa watu ila achani liwe fundisho kwa watu wanaopenda kutumika vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…