Teuzi za Rais Samia zinaonesha hapendi wananchi kuonewa

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Mama ana msimamo tofauti kabisa na mtangulizi wake.

Hapendi kabisa wananchi kuonewa.

Pamoja na kuongea hadharani, lakini hata teuzi zake zimeongea hivyo.

Vyombo vilivyotumika na Mwendazake kuminya uhuru wa wananchi katika utekelezaji wa maisha ya kawaida, vimepigwa dhoruba ya kisawasawa.

TCRA- Eng Kilaba OUT
TAKUKURU- Gen Mbungo OUT
TRA - aliyekuwepo (hata jina silikumbuki)-OUT
DPP - Biswalo Mganga-OUT

HAPA tunamsoma vizuri sana Mama, anarudisha hekima ya kuwatumikia wananchi kwa staha, weledi na bila uonezi.

Mama Samia, Mungu akutangulie!
 
Ndugai mwambie MATONYA atamshugulikia kwa mfumo was nishati ya wagogo waliopata bakora za kichwani na Ndugai.
 
Kweli mkuu, umemsahau na yule Byakanwa aliyefyeka shamba la Mbowe.
Alikuwa Mwanza kaliwa kichwa.
 
Viongozi wenye roho mbaya sasa hivi ni roho juu.
 
Tusimulaumu mama Samia suluhu khsani,kazi ameianza vizuri na aendelee kunyoosha palepalipopinda kazi iendelee na ninahakika atakwendavizuri,Ila ninamkumbusha swala la katiba/time huru ni vyema aliangalie kwa Makini sana ni la muhimu kwa watanzania wore.
 
Ndigai hayuko juu ya Sheria hivo kunasiku yatambadilikia kwani msumeno hula kotekote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…