Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Kufuatia mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu, Tanzania sasa ina wakuu wa mikoa 8 wanawake sawa na 30.7%.
Hii inawezekana ndiyo idadi kubwa zaidi ya wakuu wa mikoa wanawake tangu uhuru wa Tanzania zaidi ya miaka 60 iliyopita.
Rais Samia Suluhu anaamini katika usawa na kwamba kila mtu anayejituma na kufanya kazi kwa bidii basi anafaa kupewa nafasi ya kuchangia katika jamii.
Mlioteuliwa sasa, msiende kumuangusha Mama ila mkafanya kazi si mnaona namna ambavyo mama yuko kazini , basi nanyi mkaungane naye.