zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,644
- 3,176
Kwan kiongozi katika utumishi wa umma Marekani akiteuliwa anakuwa "hajaula"? Mtizamo wangu ni kwamba nao wanaula tu. Sema pia kuna checks za kutosha kuhakikisha kuwa unakula baada ya kufanya kazi kwa tija kwa taifa lao. Tanzania hakuna checks hizo, ni kujilia tu.