Teuzi zile zile, wateuliwa wale wale, kama haujawahi kuwemo hautakuwemo milele

Mmekata tamaa ya kubadilisha mfumo sasa mnataka kuingia ndani ya huo mfumo na nyie mlambe asali. Nchi ina watu milioni 60, wangapi watapata teuzi?
 
Mbona watu wanalalamika majina yaleyale kwan kuna mkeka mwingine umetoka huko
 
Labda tuombe wanasiasa wote wafe, ama wale wanasiasa wahuni wahuni wasipate watoto, iki nafasi wanazotarajia kurithishana zije kwa waTz wasio na connection [emoji16][emoji23].

Haya majitu yamejimirikisha nchi, kias kwamba yanajikuta yanahaki ya kumpanga nani awe nafasi fulan na nani asiwe.

Kwa hili, bila Natural Power kuingilia kati yatatutesa haya makina mwigulu, nape, msoga gang na mama yenu ''sir*hundred"
 
Alafu unakutana na kijana amemaliza chuo anatembea na t-shirt ya chama Cha fisiemu akisema "kidumu chama tawala" alafu baadaye yako na bahasha ya khaki akitafuta kazi [emoji1787][emoji1787]
Hata kupigania maslahi ya chadema ni upumbavu, just imagine limwenyekiti limekamata usukan, umri umeenda lkn hataki kuachia ngazi, wakt huo kuna vijana nguvu kazi wanaweza chukua hizo nafasi[emoji23][emoji23].

Siasa kiujumla ni utaperi
 
Kinacho kwepwa hapo ni kuzalisha wastaafu wengi kwa sababu nao wanahitaji kulipwa hata wakistaafu au waki staafushwa, nadhan nimeeleweka
 
Katika vitu nilivyoacha kufuatilia ni haya maujinga ya kuteuana teua ujinga mtupu.
 
Bila shaka wew ni ukoo wa mwigulu kamasio nape, basi msoga au tufanye mzee wako mkuchika kakutuma uje utetee ulafi wao wa madaraka kwa kivuli cha Mungu...achieni nchi enyi mafisadi
 
Aisee! Huyo Mungu mnamsingizia!
 
Teuzi zile zile, wateuliwa walewale waliotufelisha tulipotoka ndio wanarudishwa leo na kesho, halafu bado kuna wajinga wanaamini hao watu watatusogeza mbele kama taifa.
Hawana lolote zaidi kuinajisi Tz tu!
 
Duh, kwa hiyo hata hawa akina Mahera na Kingai wamepewa na Mungu hizo nafasi.....!!? No wonder Propesa wa Jalalani alidiriki kumuita yule bwana Mungu.
 
Wewe ni mshenzi.
Mungu hana upendeleo na figisu Kama za wanasiasa.
Mtu anatoa rushwa ili apate cheo,unamhusisha Mungu?
Mjinga wewe.
 
Wewe ni mshenzi.
Mungu hana upendeleo na figisu Kama za wanasiasa.
Mtu anatoa rushwa ili apate cheo,unamhusisha Mungu?
Mjinga wewe.
Kwani ulishazuiwa kugombea, utalazimishaje kuteuliwa wakati siyo wewe unayeteua ndugu yangu, Kugombea Ni Haki yako ya kisheria lakini kuhusu kuteuliwa muombe mwenyezi Mungu akupe kibali maana fikiria watanzania wapo wangapi,, hata hao watoto wa viongozi nao Ni watanzania na Wana haki ya kuteuliwa Kama unavyotaka wewe, mbona Taifa kubwa Kama marekani baba na mtoto wote walikuwa Marais Tena kwa vipind vya karibu karibu, hapa nazungumzia familia ya Bush, uliona Trumph alipokuwa Rais katika uteuzi wake, usimlaumu mtu katika uteuzi ikitokea umekosa ndugu yangu Wala usiwe na hasira Wala kuniwekea hasira maana hata Mimi siyo kiongozi lakini Sina hasira Kama ulizo nazo wewe, unatukana saiz vipi ukiwa kiongozi si utatupiga viboko
Wewe ni mshenzi.
Mungu hana upendeleo na figisu Kama za wanasiasa.
Mtu anatoa rushwa ili apate cheo,unamhusisha Mungu?
Mjinga wewe.
 
Katiba mpya ndio suluhisho.
Huu upumbavu wa kudai katiba nsuo suluhisho utawaisha lin?
Niosheonyeshe nchi ambayo katiba ilivunja mipaka ya tamaduni..
Kule USA na RSA pamoja na kupata katiba biara wameondoa ubaguzi au ukabila kule Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…