Texts ninazozipokea kutoka kwa michepuko wkt huu kuelekea x'mass na mwaka mpya.

Texts ninazozipokea kutoka kwa michepuko wkt huu kuelekea x'mass na mwaka mpya.

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Aisee, yani kuna ambao nilikua nimewasahau kabisa,ila leo ghafla napokea text inasema:

''mambo baby wangu wa ukweli, najua bado una hasira na mie ila nilikua nataka ifike December ndio nikuombe msamaha, afu baby nilikua na shida ya laki tano.

Mwingine katuma hii

''honey, leo nimepita Mlimani City nimeona kuna gauni nimelipeenda, niongezee kama laki mbili nikalichukue, nakupenda baby. mwaah''

Mwingne kanitumia eti

''baby kodi yangu ya nyumba inaisha mwezi huu, naomba uniongezee laki 8. Afu baby mdogo wangu yule anayeitwa Teddy si kafaulu la saba, inatakiwa pia ada kama laki 5 na sijui nitaipata wapi. love u mume wangu mtarajiwa mwaah!
 
Uombwe wewe na watu wa3 wakati mmoja? kuna watu wanabahati jamani haya wape...
 
Wote hao usiwape wametumia njia mbaya ya kuomba. Huwezi kutoa hela kirahisi kwa direct words kama hizo.

Ebu cheki mfano wa sms kama hii kuelekea sikukuu.

" heloo my lv. Are u doing fyn? Is everything ok? Anyway mhhh x-mass inakaribia vip utaenda kijijini kwa mama?(mama yake) sasa tuwataftie zawadi gani maana hali si nzuri mimi mwenyewe siko vizuri ila nawaza hivi ili kubana matumizi mimi sitoenda kwa mama yangu. maana kodi yangu ya nyumba inaisha mwezi huu, mama yangu ntamtumia zawadi tu nitaenda siku nyingine,

Nijulishe siku ya kwenda nimjari mama kijizawadi.si unajua tena bila mama yako nisingekuwa na wewe? Haya baby wangu siku njema nakupenda pia. Ahaaaaaa Mwanaume akisoma iyo sms lazima kodi ya nyumba alipe.

Naenda kwa shoga yangu nakopa wax elfu 35+ nanunuakg 5 sukari +kg mchele + tambi pc 5 nafunga nampa ampelekee mama yake
Ahaaaaaaaaa natumia elfu 60 nalipiwa 1.5m kodi.

" anyone with a v.g.n and brain can rule the world" alisema mtu mmoja humu.
 
Uongo huu....!!

Kweli kabisa hakuna mwanamke anakuchuna directly kiasi hicho yan mtu anakutafuta baada ya masiku mengi af siku hiyohiyo aombe hela...lazima ujichekeshe walau siku mbili then ndo uje na mzinga otherwise atuambie hao mademu zake ni division five
 
we ndo umewalea kihelahela ndo maana wanafanya hayo. wapotezee mpendezeshe mkeo awe mzuri kama hao michepuko ili ufaidi vya ndani tu vyenye usalama, hao michepuko msg hizohizo wame forward kwa wenzako. acha kufanywa ----- jali wanao watakaokutunza uzeeni
 
kick hizi. tumejua una wanawake wengi walikusahau now wamekukumbuka
 
Inaonekana mademu zako wote 'hipapu' hawacheki na kima, wanafunguka laivu
 
Hapa kazi tu na bajeti za kufa mtu sheee! hawajasikia mkuu wapeleleke kwa magufuli...
 
Kweli kabisa hakuna mwanamke anakuchuna directly kiasi hicho yan mtu anakutafuta baada ya masiku mengi af siku hiyohiyo aombe hela...lazima ujichekeshe walau siku mbili then ndo uje na mzinga otherwise atuambie hao mademu zake ni division five

Wapo sana. Siku hizi ma mwanamke yamekosa soni
 
ok tumejua unamihera ndo mana wanakuomba had rak nane gafla.hakuna mtu anaweza omba fanya hvyo akat mmeachana.Acha kujipaisha
 
Back
Top Bottom