tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Aisee, yani kuna ambao nilikua nimewasahau kabisa,ila leo ghafla napokea text inasema:
''mambo baby wangu wa ukweli, najua bado una hasira na mie ila nilikua nataka ifike December ndio nikuombe msamaha, afu baby nilikua na shida ya laki tano.
Mwingine katuma hii
''honey, leo nimepita Mlimani City nimeona kuna gauni nimelipeenda, niongezee kama laki mbili nikalichukue, nakupenda baby. mwaah''
Mwingne kanitumia eti
''baby kodi yangu ya nyumba inaisha mwezi huu, naomba uniongezee laki 8. Afu baby mdogo wangu yule anayeitwa Teddy si kafaulu la saba, inatakiwa pia ada kama laki 5 na sijui nitaipata wapi. love u mume wangu mtarajiwa mwaah!