Meja mstaafu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 531
- 1,121
Wasalaam wakuu.
Kwa kile kinachoendelea ligi daraja la kwanza, inasikitisha sana na kinatakiwa kupigwa vita kwa kila mpenda soka na maendeleo ya mpira wa miguu hapa nchini.
Jumamosi nimeshuhudia mechi ya Dodoma F.C na Alliance academy ya jijini Mwanza iliyofanyika mkoani Dodoma. Nilipatwa na simanzi kubwa sana kwa sababu kule ni zaidi ya kubebwa kwa Dodoma F.C ili ipande ligi kuu kwa nguvu.
Nimeshuhudia kadi nyekundu nne kwa upande wa Alliance, huku sikuona kosa lolote lililohitaji kadi nyekundu.
Mpaka dakika ya 90 Alliance alikua anaongoza 2-1. Zikaongezwa dk 7 Dodoma F.C wakasawazisha goli dk 98 na goli la 3 limepatikana dk 105 na huku mpira ilistahili uwe umemalizika.
Kwa staili hii msije mkategemea maendeleo ya mpira nchi hii, kama ujinga kama huu unafanyika live, kwa kweli inatia hasira sana.