TFF anzieni hapa ugomvi wa mashabiki wa Simba na Yanga

TFF anzieni hapa ugomvi wa mashabiki wa Simba na Yanga

Usiongee bila kutoa ushahidi.Eleza ni club ipi inapendelewa na hao TFF,na kwa vipi,huku ukianisha mifano halisi pasipo kutia Shaka,vinginevyo kama ni hisia zako,baki nazo mle na wakwenu
Mikia fc.
 
Utopolo mnazingua mjue,sasa hapa logo yenu ni ipi?
FB_IMG_1599615375668.jpg
FB_IMG_1599615365664.jpg
FB_IMG_1598540381537.jpg
 
Back
Top Bottom