Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Bila mashabiki kwa maana TFF wametuana mashabiki ni misukuleHii script imechorwa tu vizuri mechi isichezwe jumamosi,..
2025 hii kila platform kubwa lazma itumike..
Na platform kubwa ya kimichezo ni game ya Simba na yanga
Isingewezekana mechi kuchezwa pale bila mhusika mkuu kuwepo,
game itapangiwa tarehe nyingine huku ratiba zote zikiangaliwa vizuri mambo yasije yakaingiliana tena na team zote zitatokea uwanjani na kitapigw
Mambo yako wazi kama uchi wa mbuziHii script imechorwa tu vizuri mechi isichezwe jumamosi,..
2025 hii kila platform kubwa lazma itumike..
Na platform kubwa ya kimichezo ni game ya Simba na yanga
Isingewezekana mechi kuchezwa pale bila mhusika mkuu kuwepo,
game itapangiwa tarehe nyingine huku ratiba zote zikiangaliwa vizuri mambo yasije yakaingiliana tena na team zote zitatokea uwanjani na kitapigw
Pole sana manara alisema yanga hawana akili unadhihirisha ulichoandika toka jana mishipa ilikakamaa leo unakiri mwenyewe kuwa wewe ni msukure wa viongozi wako!Akili za Watanganyika wajinga ndo mifano yenu
Nchi ngumu hii ... Kuna mambo mengi sana ukiyafuatilia sana yatakuumiza kichwa tu.Bila mashabiki kwa maana TFF wametuana mashabiki ni misukule
TTF wamekosa uaminifu, (credibility)
Hahahah. Mimi ni kizazi cha dhahabu. Kizazi changu ndiyo soon tutakuwa tunaongoza hii nchi yenu.We ni aina ya kizazi cha ovyo tulichonacho hapa Tanganyika
Akili imeanza kumrudi sasa anagundua viongozi wa klabu yake ni wahuni tu na wababaishajiPole sana manara alisema yanga hawana akili unadhihirisha ulichoandika toka jana mishipa ilikakamaa leo unakiri mwenyewe kuwa wewe ni msukure wa viongozi wako!
Tuna safari ndefuTukubali kuwa mpira wetu ni maigizo, huu mpira unaendeshwa na wanasiasa. Ukiona mtu anailaumu bodi ya ligi na tff huyo ni mgeni kwenye Mpira wa bongo.
Hii mechi itapangiwa tarehe na itachezwa. Kama vile ambavyo lilisha sakata la Feitoto na hili nalo litamalizwa kwa staili hiyo.
Na hajasema bado .....asubiri supu!Akili imeanza kumrudi sasa anagundua viongozi wa klabu yake ni wahuni tu na wababaishaji
Sawa kama magalasa ila siku SI nyingi kitaumana, wajinga mafuvu yakirudishiwa akiliNchi ngumu hii ... Kuna mambo mengi sana ukiyafuatilia sana yatakuumiza kichwa tu.
Acha twende tu hivi hivi
Kwaresma imeisha kwani?Ndo maana nawaangalia mizuzu ya Yanga inavyotoa mishipa.ya shingo..
Hatucheziii
Hatucheziii
Tunaataka point 3
Pumbavuuu kucheza mtacheza na point tatu hampati...
Yaniiiii mtani niombeeeee π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ nilisema nitaingia tuu JF ila huku sport sikanyagi ila daaah hizi mada za derby zimekua nyingi na zinakeraaaa...kwa sbb nakuta notification 200 plus... ila naondoka kweli sirudi tena humu mpk Yesu afufuke..ππππKwaresma imeisha kwani?
We siulituaga hapa ukasema umefunga kuingia Jamii forums hadi Yesu afufuke ππ€£
Unafiki wako Sasa
Umetengua swaumu kuja kubishana
mama anahangaika sanaMara ya pili huyu mama anasababisha mechi ya watani kuhahirishwa