TFF fanyieni kazi wazo la Rais Magufuli kuwaweka wachezaji kutoka majeshi

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Nampongeza Rais Magufuli kwa kutoa wazo la kujumuisha wachezaji kutoka jeshini kwenye kikosi cha timu ya Taifa cha mpira wa miguu. Hali hii itazidi kukifanya kikosi cha timu ya Taifa ya mpira wa miguu kuwa imara.

Ni heshima kubwa kwa rais iwapo TFF wafanyie kazi wazo hili.
 
Huko kwenye timu zao za majeshi mbona hakuna ushindani wowote wanao, utoa? Zaidi ya ubabe we nenda ligi daraja la kwanza huko, ndio utaona timu za majeshi zinavyofanya undaval waulize ile timu ya arusha wakaona isiwe tabu, bora kujitoa. Wewe ligi inaendelea mala mchezaji anatakiwa kwenda kozi!!!
 
Kama kipaji kipo hata mwanajeshi ataitwa Stars.
Kama kipaji hana itakuwa ngumu kuitwa sababu ya uanajeshi wake.

Sema kukiwa na watu wawili mmoja mwanajeshi na mwingine raia, wote wanavipaji sawa. Mwanajeshi apewe kipaumbele sababu ya ukakamavu na kupitia mafunzo ya uzalendo zaidi ya mwenzie.
 
Kuna washkaji zangu wajeda walikua wanacheza JKToljoro kabla haijawa timu Ya RC Gambo kesho yake wana mechi unakuta wanakula fungi ukimuuliza VIP mbn mnalewa na kesho mechi anakwambia me timu hata ishuke daraja me nimjeshi mshahara wangu uko palepale . hawana uzalendo wowote .tatizo uyu Mzee anachukuliaga kila kitu ni maguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapenda sana kula FUNGI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu inavyoelekea baada ya 2025 atakabidhi Nchi kwa Jeshi hakuna MTU au institution unayoiamini zaidi ya jeshi.
Baadaye wanaume wote mtaambiwa muoe wanajeshi,Magu bwana.
 
Jkt Tanzania,Tanzania Prisons,Rhino Rangers,Jkt Mlale,Oljoro Jkt,Police Dodoma hizo timu unazijua? Zimewahi kufika wapi?


Tuache Siasa tufuate misingi ya soka
 
Tumuombee amechoka,anavyoomba aombewe akili zake anazijua mwenyewe zimestuck.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…