William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Yani baada ya Yanga kushindwa kabisa kukutana na Feitoto Licha ya TFF kuwaita kwenye kesi pamoja ili iwakutanishe.
Sasa mbinu ya mwisho waliyoitumia ni kumwita Feitoto timu ya Taifa. Huko pia wanampango kumwita Kocha wa Yanga Nabi akae kwenye benchi la ufundi ili wapate wasaa wa kumshawishi arudi Yanga.
Kwenye kikosi Cha Sasa Cha timu ya Taifa kiliitwa kipropaganda tu ili kuonesha kuwa Yanga Sasa ni Bora Sana Tanzania na Simba sio salaams Sana kwa wachezaji wazawa.
Sasa Ni Kama TFF inaipigania Yanga na Sio Taifa Tena.
Kwanini feitoto amekuwa Lulu Sasa.
Washabiki hatujui lkn ukweli yeye Ni Lulu haswa. Yanga wanajua Ila walijua amefungwa na mkataba. Leo Yanga wanataka feitoto wamuuze kwa Milioni 400 gharama waliyotumia kumnunulia Aziz ki.
Yani wakimaanisha gharama (player value) ya Aziz ki na feitoto Ni sawa. Kama hivyo Ni kweli kwanini feitoto wamlipe M 4 na Aziz ki apewe m 21. Gari, nyumba na marupu rupu kibao na kumuacha feitoto na mshahara kiduchu.
Samani halisi ya feitoto tuione kwenye mshahara wake na marupurupu sio kwenye kuuzwa