Mkuu hii lugha ilikuja na majahaziAfadhali wangeandika Kiswahili. Haya ni majanga.
Hivi wandishi wote watakuwa wanaume?
😁😁😁Watumie ya kwetu.
Nahisi kama wameandika Kisomali
[emoji4]Barua ya TFF hakika inachanganya.
Ngoja waje wasomi watatusaidia
Hata cjaelewa hata nilipokuwa ninasoma kwa kurudi nyuma changamoto tupu hii lugha tamu sana[emoji4]
Mbona sahihi kabisa, sema we unataka kingereza cha wabeijing haki sawaAfadhali wangeandika Kiswahili. Haya ni majanga.
Hivi wandishi wote watakuwa wanaume?
Attachment aside, hiyo lugha iko vizuri?mbona hakuna tataizo lolote,wewe umeona attachments? huyo journalist kama ni mwanaume asiwe refered kama him?hatujaona attachment kwa hiyo you are too quick to judge ,acha ujinga
Wewe.....list of journalist?mbona hakuna tataizo lolote,wewe umeona attachments? huyo journalist kama ni mwanaume asiwe refered kama him?hatujaona attachment kwa hiyo you are too quick to judge ,acha ujinga
Afadhali wangeandika Kiswahili. Haya ni majanga.
Hivi wandishi wote watakuwa wanaume?