TFF hawajui Kingereza?

TFF hawajui Kingereza?

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,296
Reaction score
18,027
Afadhali wangeandika Kiswahili. Haya ni majanga.
Hivi wandishi wote watakuwa wanaume?
 
Attachments

  • IMG_20190411_180606.png
    IMG_20190411_180606.png
    71.4 KB · Views: 24
Barua ya TFF hakika inachanganya.

Ngoja waje wasomi watatusaidia
 
mbona hakuna tataizo lolote,wewe umeona attachments? huyo journalist kama ni mwanaume asiwe refered kama him?hatujaona attachment kwa hiyo you are too quick to judge ,acha ujinga
 
Attachment aside, hiyo lugha iko vizuri?
Au ndiyo wale wale wa fenti foji?
 
mbona hakuna tataizo lolote,wewe umeona attachments? huyo journalist kama ni mwanaume asiwe refered kama him?hatujaona attachment kwa hiyo you are too quick to judge ,acha ujinga
Wewe.....list of journalist?
Ukiisoma vizuri unaona kushoto kulia

Sent using my Nokia Torch
 
Afadhali wangeandika Kiswahili. Haya ni majanga.
Hivi wandishi wote watakuwa wanaume?

Kwani hata wasipojua tatizo liko wapi??? Watu hawajui Kiswahili, itakuwa Kiingereza ambayo ni lugha ngeni?
 
Back
Top Bottom