TFF hawataweka hadharani leo msingi na vipengere walivyotumia hukumu swala la Feitoto?

Nilihisi haya Mambo yatakuwa hivyo. Nikiwa nasubiri nione Nini kilijili Sioni dalili za Tff kutoa ufafanuzi kwa Uma Nini kilichotokea na wao walitumia vipengere gani kuamua Hilo swala.

Kama maamuzi yameishatolewa kwanini waendelee kusita kutoa ufafanuzi kamili.
Ufafanuzi upewa wewe kama nani? Waliofungua kesi ni Yanga dhidi ya mchezaji wao, Sasa wewe mvimbamacho kutoka mbumbumbu fc unaulizia upewe ufafanuz[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Rage apewe heshima yake
 
Masimba Yote hayana akili plus Rage mbumbumbu Mkuu wao aliyetamka mwenyewe maneno haya bila kulazimishwa!

Mtu ana mkataba badala ya kukaa mezani yapewe bei yake (1B) yanaingilia mlango wa uani kukwepa tozo!!

Yani masimba yalitaka kumchukua Feikubwa kihuni kupitia mgongo wa Azam kama yalivyo yenyewe ni majitu mahuni tu yanayopenda shisha!!
 
Wana siasa wameshapenyeza vi memo na vitisho kwa mamlaka ya TFF, usitegemee kupewa ufafanuzi.

Fei ataipata haki yake huko mbele kwa wanaojua kusimamia sheria na kanuni za soka.., watamchelewesha tu ila haki yake ataipata
 
Nilihisi haya Mambo yatakuwa hivyo. Nikiwa nasubiri nione Nini kilijili Sioni dalili za Tff kutoa ufafanuzi kwa Uma Nini kilichotokea na wao walitumia vipengere gani kuamua Hilo swala.

Kama maamuzi yameishatolewa kwanini waendelee kusita kutoa ufafanuzi kamili.
why wasiweke?
 
Mlivotuzurumu bm33 wakati tukiwa tunatembeza bakuli mkajua na huyu mtaweza,. We mbumbumbu shtuka usije jikojolea mambo yamebadilika. Sisi ndio kiboko yenu kuanzia uwanjani paka nje ya uwanja, tumewanyanyasa sana na kuyachukua makombe yote mikononi mwenu.
Hivi Kwa akili yako ndogo ya kuvukia barabara unategemea Simba amnyang'anye Yanga mchezaji kweli??
 
Nilihisi haya Mambo yatakuwa hivyo. Nikiwa nasubiri nione Nini kilijili Sioni dalili za Tff kutoa ufafanuzi kwa Uma Nini kilichotokea na wao walitumia vipengere gani kuamua Hilo swala.

Kama maamuzi yameishatolewa kwanini waendelee kusita kutoa ufafanuzi kamili.
Kesi alipeleka yanga kumshitaki fei mlalamikiwa, kama ni ufafanuzi wamepewa walengwa nakala zao za hukumu uwezi kulazimisha uonyeshwe wewe nakala ya hukumu wakati auusiki na shauri husika, kama unataka ufafanuzi nenda kawafate walengwa wakupe hizo nakala za hukumu sijawai ona kesi za mahakamani zinatolewa ufafanuzi kwa umma mbona uwa amuhoji?
 
Ufafanuzi upewa wewe kama nani? Waliofungua kesi ni Yanga dhidi ya mchezaji wao, Sasa wewe mvimbamacho kutoka mbumbumbu fc unaulizia upewe ufafanuz[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Rage apewe heshima yake
Mbona walitupa maamuzi hadharani? Si wangewapelekea Yanga pekeyao huko vichochoroni. Acha utoto kaka
 
Masimba Yote hayana akili plus Rage mbumbumbu Mkuu wao!

Mtu ana mkataba badala ya kukaa mezani yapewe bei yake yanaingilia mlango wa uani kukwepa tozo!!

Yani masimba yalitaka kumchukua Feikubwa kihuni kupitia mgongo wa Azam kama yalivyo yenyewe ni majitu mahuni tu yanayopenda shisha!!
Swala sio anaenda wapi. Swala hapa tujue misingi ya uamuzi wote. Mkataba wa Feitoto haukumpa uwezo wa kuuvunja
 
Kalimeeee kashenyee mvuaa imeanza
Nilihisi haya Mambo yatakuwa hivyo. Nikiwa nasubiri nione Nini kilijili Sioni dalili za Tff kutoa ufafanuzi kwa Uma Nini kilichotokea na wao walitumia vipengere gani kuamua Hilo swala.

Kama maamuzi yameishatolewa kwanini waendelee kusita kutoa ufafanuzi kamili.
 
Mbona walitupa maamuzi hadharani? Si wangewapelekea Yanga pekeyao huko vichochoroni. Acha utoto kaka
Yote ni sawa na wako sahihi kutoa hadharani ama kutokutoa awabanwi na sheria yoyote ilimradi wamewapa walengwa nakala zao za hukumu wao ndio watajua cha kufanya
 
Makamu mwenyekiti wakili wa utopolo na GSM mwenyekiti hana hata sifa ya kuongoza kamati.

Yanga wamepeleka malamiko ya feisal kuvunja mkataba bila kufata taratibu, Kwa kifupi yanga walishajua feitoto kavunja mkataba kamati ilichotakiwa kufanya ni kuangalia kama kweli feisal amekiuka mkataba na kama amekiuka aadhibiwe lakini wao wanasema arudi yanga.

Hiyo ndio kamati iliyoruhusu kisinda asajiliwe Kwa sababu kambole amepata timu ya Mkopo Uganda
 
Back
Top Bottom