Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Mi nafikiri unajua ofisi zao zilipo unaweza kwenda mwenyewe au kutuma malalamiko wakupe nakala ya hukumu na wewe roho yako ilizikewalisema wao wenyewe J3 watatoa ufafanuzi km walikua na ukakasi na jambo hili wasinge publish