TFF hawataweka hadharani leo msingi na vipengere walivyotumia hukumu swala la Feitoto?

TFF hawataweka hadharani leo msingi na vipengere walivyotumia hukumu swala la Feitoto?

Club itamuadhibu vp? Kwa kumkata mshahara ambao hautaki? Au watamchapa viboko?
Hapo sasa?... Maana mshahara wenyewe hautaki... Ata wakikata haimsumbui Fei maana wamesahau kama wamerudisha zile Mil. 112 ambazo ni za muda ulobaki klabuni.
 
Umeandika pumba tupu... Wewe Benard alikua na kesi na Yanga... Pia CAS waliamua na hawana interest na SSC wale maana Yanga walihisi TFF aliwaonea kumbe ndo haki... Ila hili la Fey makandokando mengi ikiwemo mashikizo
Wewe mbumbumbu wa Simba hebu toa makasiliko Yako hapa
 
Leo Feisal kapost tangazo la Tigo kwa page yake,acha mashabiki wa Yanga wavamie na kuanza kumporomoshea matusi,unabaki unajiuliza hivi kwa style hii huyo Fei Toto atarudi kweli au itabidi kina Mgongolwa wakambebe kwa nguvu wampeleke pale Jangwani [emoji3][emoji3].Feisal hana dalili zozote za kurudi Yanga tena.
Hahaha Kwann wasiwapigie kelele viongozi kwa kumpa maslahi yasiyolingana na kiwango chake uwanjani?
 
We kaa kimya auna lolote unalolijua kwenye masuala ya mikataba naona unapuyanga tu, Mwenye mamlaka ya kumuadhibu ni klabu yake inayommiliki na sio kamati, Kamati kazi yake ilikuwa ni kuthibitisha kama yuko huru ama lah kama alivyodai yeye kuwa kavunja mkataba ndio maana aonekani kambini, Sasa jukumu la kumuadhibu sio la kamati kwakuwa sio msingi wa kesi husika wenye ilo jukumu ni waajiri wake wanaommiliki
Huna uwezo wa kunikalisha kimya, jifunze kujibu Kwa hoja badala ya mihemko
 
Back
Top Bottom