William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Ufafanuzi upewa wewe kama nani? Waliofungua kesi ni Yanga dhidi ya mchezaji wao, Sasa wewe mvimbamacho kutoka mbumbumbu fc unaulizia upewe ufafanuz[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Nilihisi haya Mambo yatakuwa hivyo. Nikiwa nasubiri nione Nini kilijili Sioni dalili za Tff kutoa ufafanuzi kwa Uma Nini kilichotokea na wao walitumia vipengere gani kuamua Hilo swala.
Kama maamuzi yameishatolewa kwanini waendelee kusita kutoa ufafanuzi kamili.
why wasiweke?Nilihisi haya Mambo yatakuwa hivyo. Nikiwa nasubiri nione Nini kilijili Sioni dalili za Tff kutoa ufafanuzi kwa Uma Nini kilichotokea na wao walitumia vipengere gani kuamua Hilo swala.
Kama maamuzi yameishatolewa kwanini waendelee kusita kutoa ufafanuzi kamili.
Mlivotuzurumu bm33 wakati tukiwa tunatembeza bakuli mkajua na huyu mtaweza,. We mbumbumbu shtuka usije jikojolea mambo yamebadilika. Sisi ndio kiboko yenu kuanzia uwanjani paka nje ya uwanja, tumewanyanyasa sana na kuyachukua makombe yote mikononi mwenu.Wana siasa wameshapenyeza vi memo na vitisho kwa mamlaka ya TFF, usitegemee kupewa ufafanuzi.
Fei ataipata haki yake huko mbele kwa wanaojua kusimamia sheria na kanuni za soka.., watamchelewesha tu ila haki yake ataipata
Kesi alipeleka yanga kumshitaki fei mlalamikiwa, kama ni ufafanuzi wamepewa walengwa nakala zao za hukumu uwezi kulazimisha uonyeshwe wewe nakala ya hukumu wakati auusiki na shauri husika, kama unataka ufafanuzi nenda kawafate walengwa wakupe hizo nakala za hukumu sijawai ona kesi za mahakamani zinatolewa ufafanuzi kwa umma mbona uwa amuhoji?Nilihisi haya Mambo yatakuwa hivyo. Nikiwa nasubiri nione Nini kilijili Sioni dalili za Tff kutoa ufafanuzi kwa Uma Nini kilichotokea na wao walitumia vipengere gani kuamua Hilo swala.
Kama maamuzi yameishatolewa kwanini waendelee kusita kutoa ufafanuzi kamili.
Mbona walitupa maamuzi hadharani? Si wangewapelekea Yanga pekeyao huko vichochoroni. Acha utoto kakaUfafanuzi upewa wewe kama nani? Waliofungua kesi ni Yanga dhidi ya mchezaji wao, Sasa wewe mvimbamacho kutoka mbumbumbu fc unaulizia upewe ufafanuz[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Rage apewe heshima yake
Kuficha madudu waliyoyafanya nyuma ya paziawhy wasiweke?
Swala sio anaenda wapi. Swala hapa tujue misingi ya uamuzi wote. Mkataba wa Feitoto haukumpa uwezo wa kuuvunjaMasimba Yote hayana akili plus Rage mbumbumbu Mkuu wao!
Mtu ana mkataba badala ya kukaa mezani yapewe bei yake yanaingilia mlango wa uani kukwepa tozo!!
Yani masimba yalitaka kumchukua Feikubwa kihuni kupitia mgongo wa Azam kama yalivyo yenyewe ni majitu mahuni tu yanayopenda shisha!!
Nilihisi haya Mambo yatakuwa hivyo. Nikiwa nasubiri nione Nini kilijili Sioni dalili za Tff kutoa ufafanuzi kwa Uma Nini kilichotokea na wao walitumia vipengere gani kuamua Hilo swala.
Kama maamuzi yameishatolewa kwanini waendelee kusita kutoa ufafanuzi kamili.
Yote ni sawa na wako sahihi kutoa hadharani ama kutokutoa awabanwi na sheria yoyote ilimradi wamewapa walengwa nakala zao za hukumu wao ndio watajua cha kufanyaMbona walitupa maamuzi hadharani? Si wangewapelekea Yanga pekeyao huko vichochoroni. Acha utoto kaka
Ahadi iko kwenye kipengele gani cha sheria kwenye kesi zisizokuhusu?Tff wasipofanya walichotuahidi nitaamini hii ni taasisi ya kipigaji na ya watu flani na haifai kwa maendeleo ya soka letu
walisema wao wenyewe J3 watatoa ufafanuzi km walikua na ukakasi na jambo hili wasinge publishAhadi iko kwenye kipengele gani cha sheria kwenye kesi zisizokuhusu?
Jumatatu ndio leo, Muda wa kazi ndio unaisha kwanini hawatoi ufafanuzi Hadi Sasa?walisema wao wenyewe J3 watatoa ufafanuzi km walikua na ukakasi na jambo hili wasinge publish
Haki ya mtu kuchukuliwa Ni swala linalomuhusu kila mtu. Sisi sio swala moja analiwa na Simba Wengine wanaangalia tuAhadi iko kwenye kipengele gani cha sheria kwenye kesi zisizokuhusu?
Kilimo Cha kutegemea mvua na kubeti Ni mtu na mjomba wakeKalimeeee kashenyee mvuaa imeanza
Mbona kesi ya morrisoni amkuomba ufafanuzi?Haki ya mtu kuchukuliwa Ni swala linalomuhusu kila mtu. Sisi sio swala moja analiwa na Simba Wengine wanaangalia tu