TFF hawataweka hadharani leo msingi na vipengere walivyotumia hukumu swala la Feitoto?

walisema wao wenyewe J3 watatoa ufafanuzi km walikua na ukakasi na jambo hili wasinge publish
Mi nafikiri unajua ofisi zao zilipo unaweza kwenda mwenyewe au kutuma malalamiko wakupe nakala ya hukumu na wewe roho yako ilizike
 
Ufafanuzi upewa wewe kama nani? Waliofungua kesi ni Yanga dhidi ya mchezaji wao, Sasa wewe mvimbamacho kutoka mbumbumbu fc unaulizia upewe ufafanuz[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Rage apewe heshima yake
Punguza ujinga utopolo, hujiulizi kwanini ile taarifa ya awali ilitolewa kwa public?
 
We kaa kimya auna lolote unalolijua kwenye masuala ya mikataba naona unapuyanga tu, Mwenye mamlaka ya kumuadhibu ni klabu yake inayommiliki na sio kamati, Kamati kazi yake ilikuwa ni kuthibitisha kama yuko huru ama lah kama alivyodai yeye kuwa kavunja mkataba ndio maana aonekani kambini, Sasa jukumu la kumuadhibu sio la kamati kwakuwa sio msingi wa kesi husika wenye ilo jukumu ni waajiri wake wanaommiliki
 
We kaa kimya auna lolote unalolijua kwenye masuala ya mikataba naona unapuyanga tu, Mwenye mamlaka ya kumuadhibu ni klabu yake inayommiliki na sio kamati, Kamati kazi yake ilikuwa ni kuthibitisha kama yuko huru ama lah kama alivyodai yeye kuwa kavunja mkataba ndio maana aonekani kambini, Sasa jukumu la kumuadhibu sio la kamati kwakuwa sio msingi wa kesi husika wenye ilo jukumu ni waajiri wake wanaommiliki
 
Ufafanuzi upewa wewe kama nani? Waliofungua kesi ni Yanga dhidi ya mchezaji wao, Sasa wewe mvimbamacho kutoka mbumbumbu fc unaulizia upewe ufafanuz[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Rage apewe heshima yake
Hata hujiulizi kwanini ile taarifa ya mwanzo TFF waliitoa public?

Utopolo mmejaa ujinga mwingi sana.
 
Club itamuadhibu vp? Kwa kumkata mshahara ambao hautaki? Au watamchapa viboko?
 
Club itamuadhibu vp? Kwa kumkata mshahara ambao hautaki? Au watamchapa viboko?
Vyovyote watakavyoona inafaa, Unataka kuwapangia namna ya kumuadhibu? Wewe ulivyooa ulipangiwa muda wa kupewa unyumba na mke wako? Mbona mnataka tutoe mifano migumu kulingana na akili zenu aisee
 
PALE TFF TANZANIA KWA UJUMLA HAKUNA HATUWEZI KITU.

HATA KUTENDA HAKI HATUWEZI.
NI DHURUMA TU.

MUDA WA KAZI UNAISHA SAA KUMI HADI SASA WAPO KIMYA.

YANI KILA KITU UBABAISHAJI HII NI LAANA.
 
Kafie mbele huko, na bado mtajua hamjui
Wasamehe bure hao mbumbumbu wameshindwa kufanya usajiri wamebaki kukomaa na yasiyowahusu wakianza kutembezewa kichapo utasikia mara mgunda aondoke, mara mbrazili amna kitu, mara yanga anatembeza bahasha kumbe ni ujinga wao tu
 
Vyovyote watakavyoona inafaa, Unataka kuwapangia namna ya kumuadhibu? Wewe ulivyooa ulipangiwa muda wa kupewa unyumba na mke wako? Mbona mnataka tutoe mifano migumu kulingana na akili zenu aisee
Acha mbambamba haiwezekani kumkomoa fei, keshakataa unyonyaji.
 
Acha mbambamba haiwezekani kumkomoa fei, keshakataa unyonyaji.
Leo Feisal kapost tangazo la Tigo kwa page yake,acha mashabiki wa Yanga wavamie na kuanza kumporomoshea matusi,unabaki unajiuliza hivi kwa style hii huyo Fei Toto atarudi kweli au itabidi kina Mgongolwa wakambebe kwa nguvu wampeleke pale Jangwani [emoji3][emoji3].Feisal hana dalili zozote za kurudi Yanga tena.
 
Reactions: Tsh
Umeandika ujinga mtupu
 
Wana siasa wameshapenyeza vi memo na vitisho kwa mamlaka ya TFF, usitegemee kupewa ufafanuzi.

Fei ataipata haki yake huko mbele kwa wanaojua kusimamia sheria na kanuni za soka.., watamchelewesha tu ila haki yake ataipata
Basi hila swala kwasasa lipo nje ya uwezo wa tiefuefu.... Hahahaha
 
Umeandika pumba tupu... Wewe Benard alikua na kesi na Yanga... Pia CAS waliamua na hawana interest na SSC wale maana Yanga walihisi TFF aliwaonea kumbe ndo haki... Ila hili la Fey makandokando mengi ikiwemo mashikizo
 
Wana siasa wameshapenyeza vi memo na vitisho kwa mamlaka ya TFF, usitegemee kupewa ufafanuzi.

Fei ataipata haki yake huko mbele kwa wanaojua kusimamia sheria na kanuni za soka.., watamchelewesha tu ila haki yake ataipata
Fei hata aene CAS hatoboi kwenye hii ishu! Mbona iko wazi tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…