TFF hawataweka hadharani leo msingi na vipengere walivyotumia hukumu swala la Feitoto?

Club itamuadhibu vp? Kwa kumkata mshahara ambao hautaki? Au watamchapa viboko?
Hapo sasa?... Maana mshahara wenyewe hautaki... Ata wakikata haimsumbui Fei maana wamesahau kama wamerudisha zile Mil. 112 ambazo ni za muda ulobaki klabuni.
 
Umeandika pumba tupu... Wewe Benard alikua na kesi na Yanga... Pia CAS waliamua na hawana interest na SSC wale maana Yanga walihisi TFF aliwaonea kumbe ndo haki... Ila hili la Fey makandokando mengi ikiwemo mashikizo
Wewe mbumbumbu wa Simba hebu toa makasiliko Yako hapa
 
Hahaha Kwann wasiwapigie kelele viongozi kwa kumpa maslahi yasiyolingana na kiwango chake uwanjani?
 
Huna uwezo wa kunikalisha kimya, jifunze kujibu Kwa hoja badala ya mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…