William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kwani walipokuwa wanaitwa wao miaka yote hii wamefanya Nini Cha ajabu? Acha ujinga kenge weweTuliaminishwa kuwa Kapombe na huseni ama wamezeeka au viwango vimeporomoka...
Tusubiri na akina kibwana sasaKwani walipokuwa wanaitwa wao miaka yote hii wamefanya Nini Cha ajabu? Acha ujinga kenge wewe
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Aliyeita kikosi nani? Huu ujinga wa kumpangia Kocha kikosi na cha kufanya, nilidhani kwenye vilabu kumbe hata timu Taifa..?Naskia wale wachezaji hawakuitwa kwa amri ya kocha na ndio maana baada ya mechi kocha amekaa kikao na kina kapombe
Hiyo inaonesha kuwa hakupendezewa na yale mapendekezo yaliyotolewa public
Aibu kubwaTuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa...
Yaani kiungo wa Horoya kaenda kubadilisha jezi mwenyewe kwa HusseinTuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa....
Huyu kiumbe anaejiita scars ni kopo tupu hana kitu kichwani nadhani yeye na mwendawazimu mwenzake okwi bobani sunzu ndy mashabiki mbumbumbu na VILAZA zaidi humu jamvini[emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba TFF ndio wanaochagua wachezaji?
Ngoja nimtag Aden Rage.
Kocha kamuona wapi na lini Feitoto. Au kibwana akiwa katuliaKwamba TFF ndio wanaochagua wachezaji?
Ngoja nimtag Aden Rage.
Na aache ukengeKwani walipokuwa wanaitwa wao miaka yote hii wamefanya Nini Cha ajabu? Acha ujinga kenge wewe
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kwa mechi ipi sasaTuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa...
Acha ujinga nguruwe weweKwani walipokuwa wanaitwa wao miaka yote hii wamefanya Nini Cha ajabu? Acha ujinga kenge wewe
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kale kaandunje katageuzwa kama chapatiTusubiri na akina kibwana sasa
Huo ndy ukweli wenyeweWadau humu wanasema hawakuachwa kwa sababu ya kiwango wala uzee. Ni kwamba hawajitumi tofauti na wanapocheza kwenye klabu yao.