TFF iliwayumbisha Simba na Serikali kuhusu uwanja wa fainali CAF

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Mashabiki wa Simba wameingizwa hasara tena za kijinga ya viingolio vyao kuporwa na wahuni wa mijini, hali hii itakoma lini na nani ataikomesha?

Baada ya mechi ya nusu finali kati ya Simba vs Al-Masry kwenye uwanja wa Mkapa CAF walishakata shauri kuwa mechi ya final haitachezwa Benjamin Mkapa, na taarifa hiyo walipewa TFF na shirikisho la mpira la Morocco, na bila shaka ZFA walitaarifiwa mapemaaa baada ya new Amani Complex kuteuliwa na CAF badala ya Mkapa.

TFF kwa kuipenda sana Simba hawakuwaeleza ukweli Simba na Serikali kuhusu maamuzi na msimamo wa CAF kuhusu uwanja, badala yake wakawa wanawapa false hope ya upande mmoja Simba na Serikali kuwa mechi itachezwa uwanja wa Mkapa.kama tukirekebisha pitch haraka. Wakati huohuo Waziri wa michezo alishasema ukarabati hauhusishi pitch.

Huu ni utovu wa nidhamu kwa CAF, serikali, Simba na mashabiki wa mpira waliokatishwa tickets.

Matokeo yake wamemwingiza Waziri Mkuu kwenye kazi ya kukagua uwanja na pitch kazi ambayo ilipaswa kufanyiwa na CAF wenyewe kujiridhisha. Hata hivyo Simba, TFF na Serikali walipaswa kujua kuwa hata Berkane na ZFA walipewa taarifa ya mechi kuchezea Zanzibar, hivyo tayari nao walishafanya maandalizi yenye gharama kwa mechi kuchezea Zanzibar.

TFF ilipaswa pia kuwaonya Simba kuacha kubishana na CAF kwenye hili, maana uamuzi ulishafanywa. TFF bhana!!!
 
TFF,SIMBA na Serikali wote ni wa kulalamikiwa, acheni ujinga Haiwezekani taarifa za uwanja utakaotumika Simba kutokuwa nazo hiyo HAIWEZEKANI, Ila kwa sababu ya UZWAZWA watu wakaamini kwamba baada ya mechi ya kwanza (Morroco) taarifa za uwanja upi utatumika zutatolewa

Huu ni UZWAZWA wa Viongozi wa Wizara Ya Michezo, Simba na TFF

Bahati mbaya zaidi hizi taarifa meneja wa uwanja wa Amani anazo ndio maana kombe la muungano lilipelekwa Pemba, haiwezekani Zanzibar wawe na taarifa halafu Tanganyika wasiwe nazo

Tatizo ni kujipa False Hope
 
Wajinga ndio waliwao

Tunawakataza kila siku kushabikia Sana simba na Yanga hamsikii madhara yake ndio haya Mtapigwa sanaaaa

Unakataje tiketi hujajiridhisha kuhusu uwanja????????????

MTALIZWA SANA
 
Mashabiki wa Simba wameingizwa hasara tena za kijinga ya viingolio vyao kuporwa na wahuni wa mijini, hali hii itakoma lini na nani ataikomesha?

Baada ya mechi ya nusu finali kati ya Simba vs Al-Masry kwenye uwanja wa Mkapa CAF walishakata shauri kuwa mechi ya final haitachezwa Benjamin Mkapa, na taarifa hiyo walipewa TFF na shirikisho la mpira la Morocco, na bila shaka ZFA walitaarifiwa mapemaaa baada ya new Amani Complex kuteuliwa na CAF badala ya Mkapa.

TFF kwa kuipenda sana Simba hawakuwaeleza ukweli Simba na Serikali kuhusu maamuzi na msimamo wa CAF kuhusu uwanja, badala yake wakawa wanawapa false hope ya upande mmoja Simba na Serikali kuwa mechi itachezwa uwanja wa Mkapa.kama tukirekebisha pitch haraka. Wakati huohuo Waziri wa michezo alishasema ukarabati hauhusishi pitch.

Huu ni utovu wa nidhamu kwa CAF, serikali, Simba na mashabiki wa mpira waliokatishwa tickets.

Matokeo yake wamemwingiza Waziri Mkuu kwenye kazi ya kukagua uwanja na pitch kazi ambayo ilipaswa kufanyiwa na CAF wenyewe kujiridhisha. Hata hivyo Simba, TFF na Serikali walipaswa kujua kuwa hata Berkane na ZFA walipewa taarifa ya mechi kuchezea Zanzibar, hivyo tayari nao walishafanya maandalizi yenye gharama kwa mechi kuchezea Zanzibar.

TFF ilipaswa pia kuwaonya Simba kuacha kubishana na CAF kwenye hili, maana uamuzi ulishafanywa. TFF bhana!!!
Screenshot_2025-05-20-18-45-56-796_org.mozilla.firefox.jpg
 
SSC & YNG kuna uzezeta mwingi sana!
 
Hata kwenye siasa Iko hivyo pia. Nchi nyingine zenye raia waliopevuka huwezi kuahirisha derby siku ya dabi mitaa ikabaki salama.
Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi
 
Imagine mtu sliyekata tiketi kwa sababu ya kuicheki simba fainali hapo kwa mkapa
Wanakenua tu pesa imeliwa, kirahisi tu mtu anaambiwa mechi hakuna utatumia tiketi huko mbeleeni kama vile anajua kama kwenye hiyo event utakuwepo au unaitaka.
 
Mashabiki wa Simba wameingizwa hasara tena za kijinga ya viingolio vyao kuporwa na wahuni wa mijini, hali hii itakoma lini na nani ataikomesha?

Baada ya mechi ya nusu finali kati ya Simba vs Al-Masry kwenye uwanja wa Mkapa CAF walishakata shauri kuwa mechi ya final haitachezwa Benjamin Mkapa, na taarifa hiyo walipewa TFF na shirikisho la mpira la Morocco, na bila shaka ZFA walitaarifiwa mapemaaa baada ya new Amani Complex kuteuliwa na CAF badala ya Mkapa.

TFF kwa kuipenda sana Simba hawakuwaeleza ukweli Simba na Serikali kuhusu maamuzi na msimamo wa CAF kuhusu uwanja, badala yake wakawa wanawapa false hope ya upande mmoja Simba na Serikali kuwa mechi itachezwa uwanja wa Mkapa.kama tukirekebisha pitch haraka. Wakati huohuo Waziri wa michezo alishasema ukarabati hauhusishi pitch.

Huu ni utovu wa nidhamu kwa CAF, serikali, Simba na mashabiki wa mpira waliokatishwa tickets.

Matokeo yake wamemwingiza Waziri Mkuu kwenye kazi ya kukagua uwanja na pitch kazi ambayo ilipaswa kufanyiwa na CAF wenyewe kujiridhisha. Hata hivyo Simba, TFF na Serikali walipaswa kujua kuwa hata Berkane na ZFA walipewa taarifa ya mechi kuchezea Zanzibar, hivyo tayari nao walishafanya maandalizi yenye gharama kwa mechi kuchezea Zanzibar.

TFF ilipaswa pia kuwaonya Simba kuacha kubishana na CAF kwenye hili, maana uamuzi ulishafanywa. TFF bhana!!!
Karma is bitch.
Tulieni dawa iingie, mlishangilia kuahirishwa kwa mechi tarehe 8 mwezi wa 3, hii ya sasa ipokeeni kimya kimya milio haitakiwi.
 
Pitch ya uwanja wa Mkapa ilitifuliwa na wachawi. Wachawi wanamtaka meneja wa uwanja apewe likizo ili wachawi wakite vitu vyao uwanjani. Bahati mbaya TFF na Serikali walliunga mkono jambo hilo badala ya kukemea ulozi. Simba Ina wadau wengi hatari sana.
 
Ahmed ally aliwapa moyo mashabik wa simba waendelee kununua tiketi
 
Kuwaambia watu waendelee kukata tickets huku ukifahamu CAF wameshatoa maagizo kwa Simba na Berkane na ZFA ni njama za kuwatapeli watu. Kuwaambia watunze tickets/NCards zao hadi Simba day ni kuwafanya watu mazuzu kwakuwa sio kila mtu anapenda kushiriki Simba day, wengine watakuwa wagonjwa, safari hata kufa kabla ya Simba day. Fedha zao zitakwenda wapi?
 
Viongozi wa simba mlianza utapeli na wizi zamani sana. Mwenyekiti wenu mstaafu Rage aliwahi kufungwa kwa sababu ya wizi wa hela za FAT, akina Evance Aveva na Geofrey Nyange na wenyewe waliingia matatani kwa sababu ya wizi! Michael Wambura naye alishtakiwa kwa sabbu ya wizi!

Kuna hela ya ujenzi wa uwanja, mlitafuna! Mwenyekiti alimleta Manzoki siku ya jampeni na akashinda hiyo nafasi yake kitapeli! Mwekezaji ameweka bilioni 20 kwenye akaunti hewa!

Na sasa mnatafuna tena hela za mashabiki wenu, huku mkitambua fika mchezo unafanyika Zanzibar!
Acheni utapeli ndugu zangu. Au ni kwa sababu mashabiki wenu wengi ni mbumbumbu kama mnavyo waita, ndiyo maana mnawafanyia utapeli waziwazi?
 
...Mwenyekiti alimleta Manzoki siku ya jampeni na akashinda hiyo nafasi yake kitapeli!
Alimuiga mwenyekiti wenu aliyemleta mchezaji wa Newcastle ya EPL kwenye kampeni
😂😂😂
Hivi Bigirimana yuko wapi wananchi?
🤣🤣🤣
 
Viongozi wa simba mlianza utapeli na wizi zamani sana. Mwenyekiti wenu mstaafu Rage aliwahi kufungwa kwa sababu ya wizi wa hela za FAT, akina Evance Aveva na Geofrey Nyange na wenyewe waliingia matatani kwa sababu ya wizi! Michael Wambura naye alishtakiwa kwa sabbu ya wizi!

Kuna hela ya ujenzi wa uwanja, mlitafuna! Mwenyekiti alimleta Manzoki siku ya jampeni na akashinda hiyo nafasi yake kitapeli! Mwekezaji ameweka bilioni 20 kwenye akaunti hewa!

Na sasa mnatafuna tena hela za mashabiki wenu, huku mkitambua fika mchezo unafanyika Zanzibar!
Acheni utapeli ndugu zangu. Au ni kwa sababu mashabiki wenu wengi ni mbumbumbu kama mnavyo waita, ndiyo maana mnawafanyia utapeli waziwazi?
Misukule yao inaipenda Simba kuliko wazazi wao. Mzazi anaomba hela hawatoi ila kwa Simba wamekufa wameona na viongozi wao wanaufahamu undondocha wa mashabiki wao.
 
Alimuiga mwenyekiti wenu aliyemleta mchezaji wa Newcastle ya EPL kwenye kampeni
😂😂😂
Hivi Bigirimana yuko wapi wananchi?
🤣🤣🤣
Sasa si bora hata huyo Gael Bigirimana alicheza! Vipi kuhusu Caesar Manzoki baada ya ule utambulisho!! Kilitokea nini?
 
TFF,SIMBA na Serikali wote ni wa kulalamikiwa, acheni ujinga Haiwezekani taarifa za uwanja utakaotumika Simba kutokuwa nazo hiyo HAIWEZEKANI, Ila kwa sababu ya UZWAZWA watu wakaamini kwamba baada ya mechi ya kwanza (Morroco) taarifa za uwanja upi utatumika zutatolewa

Huu ni UZWAZWA wa Viongozi wa Wizara Ya Michezo, Simba na TFF

Bahati mbaya zaidi hizi taarifa meneja wa uwanja wa Amani anazo ndio maana kombe la muungano lilipelekwa Pemba, haiwezekani Zanzibar wawe na taarifa halafu Tanganyika wasiwe nazo

Tatizo ni kujipa False Hope
Watanzania wanajua, timu za afrika Zinajua na hata TFF Ina khabari kamili kuwa Simba inatumia uchawi mpirani na wanajua kuwa Simba ndio walioharibu dimba la uwanja wa Benjamin Mkapa lakini wako kimya, na TFF Iko tayari kuiadhibu timu yoyote inayokataa kurogwa na Simba kwenye mechi na Simba.
 
Back
Top Bottom