Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
anaewahonga MO nae afungiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hii ni aibu kila kwenye uchafu Simba yupo mnahonga mno mnapuliza dawa za kudhofisha wapinzani wenu inatia kinyaa mpaka kumhonga jezi raisi wa Fifa angalieni Takukuru yupo nyuma hao ndio Bodaboda sports club
Match ya Azam na Mtibwa ilikuwa fixed
How does a game become fixed and how does it win with all
fans watching a real game?
-The club managers make a secret deal and players agree to it.
-Everybody gets it's own fair share. The match might look like normal but, the players know to fix a match, they are professional players at the end of the day.
Makampuni ya betting yenyewe yanapiga vita Fixed matches, yakigundua match iko fixed wanaiondoa kwenye betting list ili wasije wakaliwa hela na waweka mikeka ambao wanazipa hizi fixed matches.Mkuu unataka kusema haya makampuni ya kubet yana mkono?maana kama ni ushindi wa kawaida azam na mtibwa wapo sawa tu hawawezi kuchukua ubingwa labda hapo kwenye fixing kwa ajili ya betting inaweza kuwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Akale rushwa alizochukua kama amechukua rushwa.Sio ubinadamu kumfungia mtu three years?? Yeye akale wapi??
Lile halikuwa goli...nyie Simba acheni kushikia bango tukio Hilo.,Simba imependelewa karibu mechi nane.nusu ya magoli ya kagere ni offside...Simba imeharibu kabisa ladha ya mpira wa Tanzania...mechi ya yanga na Simba ile haikuwa penalti..Wawa alipaswa kupewa redcard kwa kumkanyaga Nchimbi...Simba anahonga marefa na wachezaji wa timu pinzani...Yale aliyosema kabwili ni ya kweli na siyo uongo...upo wakati wachezaji wawili wa yanga walirekodi mazungumzo Kati yao na kiongozi mmoja wa Simba ..kiongozi huyo akawapigia magoti viongozi wa yanga wa wakati huo na suala likamalizwa kienyeji...msimu uliopita pia Simba ilitumia mamilioni ya fedha nje ya uwanja...Natumai watamwita pia refa wa jana kutafsi sheria ya goli kuwa kona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo, magoli yote ya utata, ni rushwa imetembeaaaaa?Kumfungia mwamuzi na kisha kumwacha aliye mhonga mwamuzi ni kujisumbua bure, tff msituchezee akili zetu
Inathibitisha uzushi wako kwenye mechi hizo ulizotajaMechi za yanga vs prison, yanga vs mtibwa kulikuwa na offside ambazo sio offside, prison na mtibwa walionewa kwa kuonyeshwa offside za uongo mbona hao waamuzi wa hizi mechi wameachwa?
Shabiki wa soka mwenye akili timamu na aliangalia hizo mechi either aliona video clips ataamini nilichoandikaInathibitisha uzushi wako kwenye mechi hizo ulizotaja
Unataka liwe goli?Natumai watamwita pia refa wa jana kutafsi sheria ya goli kuwa kona.
Sent using Jamii Forums mobile app
I'll haliwezekani hakuna ushahidiKanuni zirekebishwa wasiishie kuwafungia waamuzi tu, na timu iliyomuhonga ipokonywe pointi! Tumechoka kupata bingwa wa bandia! Wazee wa Bunju mpo?
Sent using Jamii Forums mobile app
ile niliipenda sana! Yaani natamani nikutane na yule Mshika Kibendera anambia alifikiaje ile conclusion ya kona?Na ile ya goli kugeuzwa kuwa kona ni kifungu kipi cha sheria za soka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah tff hivi wanaakili kweli? Ile offside ya kagere ni ngumu sana kuiona yaani it wasnt a clear off side. Ile ya boko ndio ipo clear. Sasa adhabu ya aliyempa goli boko itakuaje? Na lile goli la kona itakuaje adhabu yake
Sent using Jamii Forums mobile app