Law Tom
New Member
- Dec 5, 2019
- 3
- 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ile niliipenda sana! Yaani natamani nikutane na yule Mshika Kibendera anambia alifikiaje ile conclusion ya kona?
Hilo sio povu la kawaida!! Ngoja tusubiri vifungu vya kanuni ya "goli kona" usitutemee mate sisi.Lile halikuwa goli...nyie Simba acheni kushikia bango tukio Hilo.,Simba imependelewa karibu mechi nane.nusu ya magoli ya kagere ni offside...Simba imeharibu kabisa ladha ya mpira wa Tanzania...mechi ya yanga na Simba ile haikuwa penalti..Wawa alipaswa kupewa redcard kwa kumkanyaga Nchimbi...Simba anahonga marefa na wachezaji wa timu pinzani...Yale aliyosema kabwili ni ya kweli na siyo uongo...upo wakati wachezaji wawili wa yanga walirekodi mazungumzo Kati yao na kiongozi mmoja wa Simba ..kiongozi huyo akawapigia magoti viongozi wa yanga wa wakati huo na suala likamalizwa kienyeji...msimu uliopita pia Simba ilitumia mamilioni ya fedha nje ya uwanja...
mkuu kumbuka namungo timu ya waziri mkuuMkuu french ulichoandika ni point sana LAKINi labda hadhi ya NAMUNGO Fc ya Ruangwa na POLICE Tanzania zitaangaliwa kwa mitizamo tofauti ili kuamua huyo Refaree mwingine afungiwe miaka pungufu au mingi zaidi ya huyo wa kwanza.
Ahsante
TFF imemfungia mwamuzi msaidizi mechi ya Simba vs Namungo miaka 3 kutoka na kushindwa kuitafsiri sheria ya offside.
===
TFF WACHOMOA 'BETRI' KWA MWAMUZI ALIYECHEZESHA SIMBA VS NAMUNGO, AFUNGIWA MIAKA 3
NA ANDREW CHALE.
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemfungia Mwamuzi msaidizi namba mbili Kassim Safisha miaka mitatu (3) kwa kosa la kushindwa kutafsiri sheria ya kuotea katika iliyowakutanisha simba dhidi ya Namungo fc mechi hiyo iliyochezwa Januari 29,2020 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa mchana wa leo na Afisa habari na Mawasiliano wa TFF,
Cliford Mario Ndimbo ilieleza kuwa, Adhabu hiyo imetolewa kwa mujibu wa Kanuni namba 39 (1) (a) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Waamuzi.
Aidha, katika kikao hicho ilipitia mwenendo mingine na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi ufuatao.
Ligi Kuu ya Vodacom, mechi namba 157: Azam FC 1 v Mtibwa FC 1-Mwamuzi Meshack Suda ameandikiwa barua ya kukumbushwa kufanya majukumu yake kwa umakini zaidi katika mechi iliyochezwa Januari 30,2020 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Vile vile katika mchezo huo Kamishina Abdallah Zongo ameondolewa kwenye orodha ya Makamishina kwa kosa la kutoa taarifa yenye mapungufu.Adhabu hii ni kwa kuzingatia Kanuni namba 40(1) kuhusu Udhibiti Kamishina
Mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba again?TFF imemfungia mwamuzi msaidizi mechi ya Simba vs Namungo miaka 3 kutoka na kushindwa kuitafsiri sheria ya offside.

Fadlu hana raha kabisa na haelewi ni nini kinaendelea. Pale anapoiona kabisa timu yake haifurukuti(kama ilivyoshikwa na namungo juzi), mara paap penalti tatu hizo na timu ikashinda na kliin shiti.Kumbe hii familia imetoka mbali 😀
Siku hizi bahasha zinatembezwa hata kwa wakubwa wa huyo refa. Labda umfungie wewe.Huyu wa juzi alipaswa afungiwe pia
Kama hakufungiwa Kayoko , iweje huyu ndiye afungiwe?Huyu wa juzi alipaswa afungiwe pia
Naikumbuka hii ilininyma usingiz sana uto kulindwaNatumai watamwita pia refa wa jana kutafsi sheria ya goli kuwa kona.
Sent using Jamii Forums mobile app