TFF imemfungia mwamuzi msaidizi mechi ya Simba vs Namungo miaka 3 kutoka na kushindwa kuitafsiri sheria ya offside

Hilo sio povu la kawaida!! Ngoja tusubiri vifungu vya kanuni ya "goli kona" usitutemee mate sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mikia FC.
 
Simba again?
 
Kumbe hii familia imetoka mbali 😀
Fadlu hana raha kabisa na haelewi ni nini kinaendelea. Pale anapoiona kabisa timu yake haifurukuti(kama ilivyoshikwa na namungo juzi), mara paap penalti tatu hizo na timu ikashinda na kliin shiti.

Yaani, Simba ya miaka hii ni kama CCM, muichague msiichague itashinda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…