TFF imfungie mwamuzi wa mechi ya Mgambo vs Azam

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
2,987
Reaction score
1,954
nimesikitishwa sana na kitendo cha mwamuzi wa mechi hiyo kwa kitendo chake cha kumaliza mpira wakati mshambuliaji wa MGAMBO yuko pekeyake mbele ya kipa wa AZAM na uwezekano wa mshambuliaji yule kufunga ni asilimia 98.
kama kweli TFF wana dhamira ya dhati ya kuendeleza soka la Tanzania basi wamwadhibu mwamuzi huyu.
 
Mpira ni dakika 90 tu. Muda ukiisha kipenga ni lazima kipulizwe. Endapo goli lingefungwa nje ya muda hilo bao lingekuwa disputed kwa kufungwa kinyume na sheria 17 za soka.

Mimi nadhani tusiyumbishwe na hisia zetu za kutaka kuona Azam anafungwa bali tusimame katika haki. Maadam muda uliisha na mfungaji alikuwa hajafunga, kipenga kilimaliza mambo yote.
 
Viongozi wao hawajataka kupigana leo?

hawajapigana ila walioneshwa wakiwa na sura zenye mchanganyiko wa hasira, msongo wa mawazo, kulaumu na kukata tamaa, hasa yule mzee wakiarabu ambaye ndo mwenyekiti kama sikosei
 
Mpira ni dakika 90 tu. Muda ukiisha kipenga ni lazima kipulizwe. Endapo goli lingefungwa nje ya muda hilo bao lingekuwa disputed kwa kufungwa kinyume na sheria 17 za soka.

Mimi nadhani tusiyumbishwe na hisia zetu za kutaka kuona Azam anafungwa bali tusimame katika haki. Maadam muda uliisha na mfungaji alikuwa hajafunga, kipenga kilimaliza mambo yote.

mkuu umetazama mchezo husika?
 
Hata jana mechi ya Atletico Madrid na Real Madrid imemalizwa wakati mchezaji wa Real ameporwa mpira karibu na goli lao. Ni jambo la kawaida ingawa linauma
 
Simba tushindwe wenyewe...

Hamuwezi, kama Kapeto ni wa kubaki hapahapa, nayo Simba ni ya kubaki nafasi ya 3. Mkijitutumua kumfunga Azam mtaifanya Yanga itangaze ubingwa mapema sana. Kuweni makini mnapofukuzia nafasi ya pili.
 
unataka kusema nafasi ya tatu kwetu Bado Ni kitenda wili...
 
Back
Top Bottom