GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna muda ilitoa Maamuzi (Taarifa) fulani kuwa Wao ndiyo wameongoza sijui kwa kujaza Watu Uwanjani na kama kawaida yao Washamba na Mashabiki zao 'Oya Oya' wengi 'Wakashangilia' Mwezi mzima utadhani ndiyo wamebeba Kombe la VPL.
Hatimaye leo ndiyo TFF katika Utoaji wa Tuzo zake imeamua kuwafanyia U-turn ya aina yake ambapo 98% ya Tuzo zimeenda kwa Timu moja kubwa, Kongwe na iliyobarikiwa zaidi na mwenyezi Mungu ya Simba SC huku 'Wapayukaji FC' wakitoka patupu na klabu yao ya kike kuwa ya pili mbele ya Mabingwa Klabu ya kike ya Simba SC.
TFF tafadhali siku nyingine msirudie tena udhalilishaji huu na muwe basi mnawaonea hata Huruma. Yaani kelele nyingi za kujisifu Mitandaoni, Maredioni, Magazetini, Vibanda Umiza na Mitaani halafu Tuzo hamna (kiduchu) tu.
Hongereni 'Simba SC' kwa tuzo nyingi.