chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Mdhamini ni voda kikwazo kinachochelewesha kusainiwa inasadikika kuwa tatizo ni kale kanembo kekundu nasikia vyura hawakataki na voda wamekomaa lazima wavae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyura akili ndogo tuMdhamini ni voda kikwazo kinachochelewesha kusainiwa inasadikika kuwa tatizo ni kale kanembo kekundu nasikia vyura hawakataki na voda wamekomaa lazima wavae
epl haina wadhamini weee ni pumba huoni carabao energy. Fantasy bear. BarclaysKama hayupo unataka watangaze hewa??kama angekuwapo na kila kitu kimekamilika unadhani wangesuburi kutangaza??Note than EPL yenyewe haina mdhamini mwaka wa 4 huu sijui usidhani hawataki
wapo zaid ya 50 achan na huyo jamaa anakurupuka.
EPL naona ina wadhamini kila nyanja mfano.
Time keeper- TAG Heuer
Ball- Nike
Drinks- Coca-Cola
Snacks- nimesahau.
MKUU KWELI HAYORasmi vodacom ndio mthamini wa ligi kwa miaka 3 kwa thamani ya billion 9 kila mwaka billion 3View attachment 1188553
ila tfd kuna mkwanja wa bure bure mwingi sana aiseeRasmi vodacom ndio mthamini wa ligi kwa miaka 3 kwa thamani ya billion 9 kila mwaka billion 3View attachment 1188553
Vyura akili ndogo tu
Kweli kabisa mkuuMKUU KWELI HAYO