TFF inapata ugumu gani kumtangaza mdhamini kuu Tanzania TPL??

TFF inapata ugumu gani kumtangaza mdhamini kuu Tanzania TPL??

Mdhamini ni voda kikwazo kinachochelewesha kusainiwa inasadikika kuwa tatizo ni kale kanembo kekundu nasikia vyura hawakataki na voda wamekomaa lazima wavae
 
Kama hayupo unataka watangaze hewa??kama angekuwapo na kila kitu kimekamilika unadhani wangesuburi kutangaza??Note than EPL yenyewe haina mdhamini mwaka wa 4 huu sijui usidhani hawataki
epl haina wadhamini weee ni pumba huoni carabao energy. Fantasy bear. Barclays
 
Rasmi vodacom ndio mthamini wa ligi kwa miaka 3 kwa thamani ya billion 9 kila mwaka billion 3
IMG-20190823-WA0023.jpeg
 
Back
Top Bottom