TFF inapwaya na MANARA apaswa kuchukuliwa hatua!

NINACHOFURAHI NI KUWA YALE YA LIGI DARAJA LA KWANZA MWAKA ULE WA GEITA NA POLISI TABORA SASA YAMEHAMIA KWENYE VPL 2016/2017. HAPA SIMBA PALE KAGERA SUGAR HUKU YANGA. NAMMIS MTU MMOJA ALITAJWA TAJWA SANA KWENYE LILE SAKATA HUWA NAMSIKIA PIA KWENYE NYIMBO ZA WAZEE WA NGWASUMA ANAITWA YUSUPH KITUMBO.... NATAMANI KUMUONA
 
Ushahidi wa idadi ya kadi haupo ndiyo maana marefa walisakwa na kutumika kutumia mashimo.

Kanuni za TFF sina mapungufu ndiyo maana nimependekeza ziache kufukuza ngozi wakati mnofu tayari umeliwa
 
Mubashara
 
Upande wangu upi? Manara alipaswa afunge bakuli lake hadi maamuzi yafanywe. Huwezi kuupepeta wakati vyombo vya maamuzi viko jioni huko ni kuleta ushawishi au vitisho na kwenye mazingira ya namna hiyo haki haiwezi kupatikana
 
Rutashubanyuma....na ni vipi kuhusu upande wapili wa bandiko lako..?kumbuka kuna msemaji wa Yanga aliongea pia na akataja TAKUKURU...CYBER CRIME...TCRA...POLISI....nk
Wote ni kuchukuliwa hatua kwa kuingilia uhuru wa vyombo vya kutoa maamuzi
 
Kwanza walikuwa time barred.
 
Huyu Manara anajivunia kwa sababu ni zeruzeru. Haiwezekani anaanza kutugawa kwa makabila yeti. Watanzania hatujawahi kugawanywa kwa makabila
Sidhani ni ukilema wake wa ngozi bali ni majigambo na vitisho vya mtapatapa na maji haachi kutika!
 
Huyu manara achunguzwe kuhusu kauli yake anakoenda siko kabisa anatuhumu ukabila jambo sio la kweli kabisa. Wasimwache hivihivi
TFF ni dhaifu sana walipaswa kwa wakati angelimwa barua ajieleze kwanini anaingilia uhuru wa vyombo vya kikatiba vya utoaji wa haki
 
Teh! Teh! Teh!
 
Sorry, kabla hata ya maamuzi ya mwanzo simba kupewa point tatu Salum Mkemi mjumbe wa Yanga alifanya conference ili iwej,,,

kama umesema Manara anatakiw kuchukuliwa hatua kwa kuleta ushawishi ktk maamuz ambayo hayajafanyika bado basi na Mkemi achukuliwe hatua coz alionkan kabsa kuitishia kamati juu ya maamuzi yoyote yatakayochukuliwa hasa ya kuiumiza yanga.

Na isitoshe rufaa haikuwa dhidi ya Yanga ilikua dhidi ya Kagera sugar sasa ni sheria ipi iliomfanya Salum Mkemi na Yanga yake kuitisha press wakat hata mambo hayawahusu wao…!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…