TFF inapwaya na MANARA apaswa kuchukuliwa hatua!

TFF inapwaya na MANARA apaswa kuchukuliwa hatua!

NINACHOFURAHI NI KUWA YALE YA LIGI DARAJA LA KWANZA MWAKA ULE WA GEITA NA POLISI TABORA SASA YAMEHAMIA KWENYE VPL 2016/2017. HAPA SIMBA PALE KAGERA SUGAR HUKU YANGA. NAMMIS MTU MMOJA ALITAJWA TAJWA SANA KWENYE LILE SAKATA HUWA NAMSIKIA PIA KWENYE NYIMBO ZA WAZEE WA NGWASUMA ANAITWA YUSUPH KITUMBO.... NATAMANI KUMUONA
 
Hebu pitia rufaa yenyewe na unipe majibu sahihi ili tuanzia hapo.
1. Je ni kweli mchezaji huyo alikuwa na kadi 3 za njano?
2. Unajua kanuni zinazoendesha ligi kuu 2016/2017?
3. Unaamini kuwa kila klabu ilikuwa na mwakilishi wakati wa kikao cha kupitia kanuni hizo kabla ya ligi kuanza na walisaini na kila mmoja ana nakala hiyo?
Ushahidi wa idadi ya kadi haupo ndiyo maana marefa walisakwa na kutumika kutumia mashimo.

Kanuni za TFF sina mapungufu ndiyo maana nimependekeza ziache kufukuza ngozi wakati mnofu tayari umeliwa
 
Naunga mkono hoja kwa maana ya marekebisho ktk msimu ujao. Haipendezi timu kupewa ushindi wa mezani.

Ni kweli pia kuwa kama Simba angeshinda hii mechi huku Kagera akiwa na mchezaji mwenye kadi 3 inaonekana asingeonekana na hivyo kosa lisingeadhibiwa. Kanuni irekebishwe ili unapochezesha mchezaji mwenye kadi 3 unyang'anywe tu point hizo hizo tatu hata kama hapewi mtu yeyote, otherwise hakuna faida ya kuwa na adhabu ya kadi!
Lakini hiyo ni marekebisho yajayo kwa sasa hivi hakuna namna, ni TFF kuamua kwa mujibu wa kanuni iliopo na ushahidi uliopo mbele yao.

Huku kuzungazunguka ni kutaka kuficha au kuharibu ushahidi uliopo ambao unaonyesha Fakhi ana kadi 3!

Kwenye issue ya Haji Manara, alichofanya hakina tofauti na alichofanya Salum Mkemi kutoa povu kabla ya uamuzi wa Kamati ya Masaa 72, nimeshangaa sana unashindwaje kuiomba TFF iwaadhibu wote.
Mubashara
 
Nadhani umeongea kwa kulalia upande wako. Manara ametetea haki yake. Tatizo kubwa hapa ni TFF,tangu aingie Malinzi aliigeuza TFF kuwa kambi ya Yanga.Hili halina ubishi,tumeona maamzi ya marefa tangu misimu miwili iliyopita yakilalia upande wa kuisaidia Yanga. Hilo jambo limepelekea kuwa na timu mbovu ya taifa. Matokeo unayajua.Makocha walichagua wachezaji wa yanga badala ya wachezaji wa timu ya taifa. Haya unayolalamikia leo ni matokeo ya TFF ya upande ule. Dawa ni hii,TOA MALINZI hapo arudi kagera.
Upande wangu upi? Manara alipaswa afunge bakuli lake hadi maamuzi yafanywe. Huwezi kuupepeta wakati vyombo vya maamuzi viko jioni huko ni kuleta ushawishi au vitisho na kwenye mazingira ya namna hiyo haki haiwezi kupatikana
 
Rutashubanyuma....na ni vipi kuhusu upande wapili wa bandiko lako..?kumbuka kuna msemaji wa Yanga aliongea pia na akataja TAKUKURU...CYBER CRIME...TCRA...POLISI....nk
Wote ni kuchukuliwa hatua kwa kuingilia uhuru wa vyombo vya kutoa maamuzi
 
Tatizo lililopo hapa hapa ni watu kutazamana huyu Yanga huyu Simba so hata ukitoa maamuzi SAHIHI ILA yakaiumiza SIMBA Basi SIMBA watakuja Na lawama huyu yanga . Ilitufike tufuate kanuni Na SHERIA za mpira . mfano tuanzie Na malalamiko ya SIMBA kwamati ya masaa 72 je SIMBA walikuwa Na sifa kupeleka malalamiko Na Na kamati kujiridhisha kwamba hakuna kanuni imevunjwa kwa maana Hayo malalamiko ya SIMBA yapo ndani ya Masaa 72? Kama kamati ya Masaa 72 ilikaaa baada ya Masaa 72 kupita Basi Maamuzi Na kamati hiyo ni batili tukianzia hapo hatutafika hukuwalikofika . haijalishi hiyo kamati INA wajumbe wengi wa SIMBA au Yanga , wahaya au wachaga kama wanafuata kanuni hiyo ndio utamaduni wa Tz.
Kwanza walikuwa time barred.
 
Huyu Manara anajivunia kwa sababu ni zeruzeru. Haiwezekani anaanza kutugawa kwa makabila yeti. Watanzania hatujawahi kugawanywa kwa makabila
Sidhani ni ukilema wake wa ngozi bali ni majigambo na vitisho vya mtapatapa na maji haachi kutika!
 
Huyu manara achunguzwe kuhusu kauli yake anakoenda siko kabisa anatuhumu ukabila jambo sio la kweli kabisa. Wasimwache hivihivi
TFF ni dhaifu sana walipaswa kwa wakati angelimwa barua ajieleze kwanini anaingilia uhuru wa vyombo vya kikatiba vya utoaji wa haki
 
NINACHOFURAHI NI KUWA YALE YA LIGI DARAJA LA KWANZA MWAKA ULE WA GEITA NA POLISI TABORA SASA YAMEHAMIA KWENYE VPL 2016/2017. HAPA SIMBA PALE KAGERA SUGAR HUKU YANGA. NAMMIS MTU MMOJA ALITAJWA TAJWA SANA KWENYE LILE SAKATA HUWA NAMSIKIA PIA KWENYE NYIMBO ZA WAZEE WA NGWASUMA ANAITWA YUSUPH KITUMBO.... NATAMANI KUMUONA
Teh! Teh! Teh!
 
Tofauti huwezi kuiona kama huchambui hoja zangu
Utaratibu hautekelezeki kwa sababu kumbukumbu aidha zimepotea au wameziharibu makusudi. Sasa hizo taratibu utazitekeleza vipi kama hujui kama kweli mchezaji husika ana hata kadi moja ya njano achilia mbali tatu!
Sorry, kabla hata ya maamuzi ya mwanzo simba kupewa point tatu Salum Mkemi mjumbe wa Yanga alifanya conference ili iwej,,,

kama umesema Manara anatakiw kuchukuliwa hatua kwa kuleta ushawishi ktk maamuz ambayo hayajafanyika bado basi na Mkemi achukuliwe hatua coz alionkan kabsa kuitishia kamati juu ya maamuzi yoyote yatakayochukuliwa hasa ya kuiumiza yanga.

Na isitoshe rufaa haikuwa dhidi ya Yanga ilikua dhidi ya Kagera sugar sasa ni sheria ipi iliomfanya Salum Mkemi na Yanga yake kuitisha press wakat hata mambo hayawahusu wao…!!!??
 
Back
Top Bottom