TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024

TFF ni tawi la CCM. Na jambo hili liko wazi kabisa. Sasa kama CCM inavurunda kila siku, ndiyo tutegemee hiyo TFF ifanye mambo yake kwa weredi! Hilo tusahau.

Yule kocha wao hakuwa na CV ya kueleweka. Na baadhi ya wadau wa michezo tulitegemea haya madudu kutokea. Hata kwenye kufuzu, timu imefuzu kwa kubahatisha tu. Na wala haikupambana.
 
AFCON hii timu nyingi zinacheza vibaya, tungechagua vizuri wachezaji tungeshindana. Hadi sasa timu ambazo nimeziona zina mpira mzuri ni Cape Verde, Misri na Morocco basi, hao wengine ni majina tu.
Izo unazo ona zinacheza vibaya hakuna ata Moja ambayo sisi tunaisogelea kwenye Rank za FIFA. Sisi ndio wa mwisho na si kwa bahati mbaya.
Sisi kwenye Rank ni wa 121 yaani uku kwenye aya mashindano tumefuzu kwa bahati mbaya.
Kuna nchi nyingi ambazo hazikushiriki na ikitokea Leo tunacheza nazo zinao uwezo wa kutufunga bila shaka yoyote.

Msingi wa Timu nyingi ni kua na professional wanao cheza ligi kubwa sisi tuna uhaba katika ilo.
 
TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024. TFF inabeba lawama zote za mpira mbovu waoneshao taifa stars huko Abidjan Ivory cost. Huyu kocha anashindwa hata kukuza uwezo wa midfilders ambao hushuka na kulinda goli na kusonga mbele kusaka goli kama wafanyavyo Yanga na Simba za sasa.
jamani tukae na kujiuliza nini haswa kitufanyacho tucheze pira la ngumbaru wakati wenzetu wote hata Namibia wako gawiza sana kiuwezo wa ufundi .
Hiyo AFCON 2024 unaiandalia ndotoni?
 
yule kocha hazimtoshi unamuacha vipi ALLY SALIM na kumuita METACHA MNATA wakati hata sisi wana yanga tu hatuna hamu nae alichotufanyia huko algeria
Vipi kama kachaguliwa wachezaji na maboss zake
 
TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024. TFF inabeba lawama zote za mpira mbovu waoneshao taifa stars huko Abidjan Ivory cost. Huyu kocha anashindwa hata kukuza uwezo wa midfilders ambao hushuka na kulinda goli na kusonga mbele kusaka goli kama wafanyavyo Yanga na Simba za sasa.
jamani tukae na kujiuliza nini haswa kitufanyacho tucheze pira la ngumbaru wakati wenzetu wote hata Namibia wako gawiza sana kiuwezo wa ufundi .
Katupeleka afcon,Kim asingeweza
 
TFF imefeli kuandaa mpango wa kukuza soka TZ, mafanikio yake yako nyuma ya kivuli cha ligi kuu, ambayo inapaishwa na wachezaji wa nje tu na sio wa ndani.

Ndio maana ikifika kwenye timu ya Taifa hakuna soka la kuonyesha, vipaji viko vingi mtaani.
 
Ligi inachamshwa na foreigners Sisi hatuna mpira. Usimba na Uyanga, udaku, uchawa NK NK.
 
TFF imefeli kuandaa mpango wa kukuza soka TZ, mafanikio yake yako nyuma ya kivuli cha ligi kuu, ambayo inapaishwa na wachezaji wa nje tu na sio wa ndani.

Ndio maana ikifika kwenye timu ya Taifa hakuna soka la kuonyesha, vipaji viko vingi mtaani.
TFF haiwezi kukuza soka, wanaoweza kukuza soka ni vilabu
 
Wajibu wa TFF ni nini kwenye mchezo wa soka? Unajua FIFA inatoa fedha kwaajili ya kukuza mchezo huu?!

Vilabu sio wajibu wao, wao wako kibiashara zaidi, wanataka matokeo zaidi, tunaenda kutafuta wachezaji nje ya nchi kuchezea timu ya taifa kwasababu timu za kwenye ligi hazizalishi wachezaji.

Ligi yetu inapaishwa na wachezaji wa nje kutoka kwenye timu mbili tu, aibu.
 
Timu zetu zinatakiwa zitafute vijana wadogo wenye vipaji na kuwaendeleza badala kununua wachezaji kutoka nje kwa mamilioni
 
Timu zetu hazina huo mda labda iwekwe sheria, ziko kibiashara zaidi.
 
TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024. TFF inabeba lawama zote za mpira mbovu waoneshao taifa stars huko Abidjan Ivory cost. Huyu kocha anashindwa hata kukuza uwezo wa midfilders ambao hushuka na kulinda goli na kusonga mbele kusaka goli kama wafanyavyo Yanga na Simba za sasa.
jamani tukae na kujiuliza nini haswa kitufanyacho tucheze pira la ngumbaru wakati wenzetu wote hata Namibia wako gawiza sana kiuwezo wa ufundi .
Sisi hatuandai AFCON 2024 bali 2027.
 
Back
Top Bottom