Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
KUlikuwa na haja ya kuniambia nina kichaa ili kufikisha ujumbe wako?Kwamba Senegal Hana mpira mzuri
Congo Hana mpira mzuri
Cape Verde imekuwa timu ya Kwanza kutinga hatua ya mtoano na yenyewe Haina mpira mzuri.
Una kichaa wewe
Izo unazo ona zinacheza vibaya hakuna ata Moja ambayo sisi tunaisogelea kwenye Rank za FIFA. Sisi ndio wa mwisho na si kwa bahati mbaya.AFCON hii timu nyingi zinacheza vibaya, tungechagua vizuri wachezaji tungeshindana. Hadi sasa timu ambazo nimeziona zina mpira mzuri ni Cape Verde, Misri na Morocco basi, hao wengine ni majina tu.

Hiyo AFCON 2024 unaiandalia ndotoni?TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024. TFF inabeba lawama zote za mpira mbovu waoneshao taifa stars huko Abidjan Ivory cost. Huyu kocha anashindwa hata kukuza uwezo wa midfilders ambao hushuka na kulinda goli na kusonga mbele kusaka goli kama wafanyavyo Yanga na Simba za sasa.
jamani tukae na kujiuliza nini haswa kitufanyacho tucheze pira la ngumbaru wakati wenzetu wote hata Namibia wako gawiza sana kiuwezo wa ufundi .
Vipi kama kachaguliwa wachezaji na maboss zakeyule kocha hazimtoshi unamuacha vipi ALLY SALIM na kumuita METACHA MNATA wakati hata sisi wana yanga tu hatuna hamu nae alichotufanyia huko algeria
Katupeleka afcon,Kim asingewezaTFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024. TFF inabeba lawama zote za mpira mbovu waoneshao taifa stars huko Abidjan Ivory cost. Huyu kocha anashindwa hata kukuza uwezo wa midfilders ambao hushuka na kulinda goli na kusonga mbele kusaka goli kama wafanyavyo Yanga na Simba za sasa.
jamani tukae na kujiuliza nini haswa kitufanyacho tucheze pira la ngumbaru wakati wenzetu wote hata Namibia wako gawiza sana kiuwezo wa ufundi .
🤩🤩🤩Tanzania kila kitu sisi ni F mpira, kilimo, viwanda...
Ufisadi tu ndo tuna A
Ligi inachamshwa na foreigners Sisi hatuna mpira. Usimba na Uyanga, udaku, uchawa NK NK.TFF imefeli kuandaa mpango wa kukuza soka TZ, mafanikio yake yako nyuma ya kivuli cha ligi kuu, ambayo inapaishwa na wachezaji wa nje tu na sio wa ndani.
Ndio maana ikifika kwenye timu ya Taifa hakuna soka la kuonyesha, vipaji viko vingi mtaani.
TFF haiwezi kukuza soka, wanaoweza kukuza soka ni vilabuTFF imefeli kuandaa mpango wa kukuza soka TZ, mafanikio yake yako nyuma ya kivuli cha ligi kuu, ambayo inapaishwa na wachezaji wa nje tu na sio wa ndani.
Ndio maana ikifika kwenye timu ya Taifa hakuna soka la kuonyesha, vipaji viko vingi mtaani.
Wajibu wa TFF ni nini kwenye mchezo wa soka? Unajua FIFA inatoa fedha kwaajili ya kukuza mchezo huu?!TFF haiwezi kukuza soka, wanaoweza kukuza soka ni vilabu
Timu zetu zinatakiwa zitafute vijana wadogo wenye vipaji na kuwaendeleza badala kununua wachezaji kutoka nje kwa mamilioniWajibu wa TFF ni nini kwenye mchezo wa soka? Unajua FIFA inatoa fedha kwaajili ya kukuza mchezo huu?!
Vilabu sio wajibu wao, wao wako kibiashara zaidi, wanataka matokeo zaidi, tunaenda kutafuta wachezaji nje ya nchi kuchezea timu ya taifa kwasababu timu za kwenye ligi hazizalishi wachezaji.
Ligi yetu inapaishwa na wachezaji wa nje kutoka kwenye timu mbili tu, aibu.
Timu zetu hazina huo mda labda iwekwe sheria, ziko kibiashara zaidi.Timu zetu zinatakiwa zitafute vijana wadogo wenye vipaji na kuwaendeleza badala kununua wachezaji kutoka nje kwa mamilioni
Sisi hatuandai AFCON 2024 bali 2027.TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024. TFF inabeba lawama zote za mpira mbovu waoneshao taifa stars huko Abidjan Ivory cost. Huyu kocha anashindwa hata kukuza uwezo wa midfilders ambao hushuka na kulinda goli na kusonga mbele kusaka goli kama wafanyavyo Yanga na Simba za sasa.
jamani tukae na kujiuliza nini haswa kitufanyacho tucheze pira la ngumbaru wakati wenzetu wote hata Namibia wako gawiza sana kiuwezo wa ufundi .