TFF Ishaanza Kuwasetia Simba SC Viporo Kwenye NBC Premier League

TFF Ishaanza Kuwasetia Simba SC Viporo Kwenye NBC Premier League

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Ni mizunguko ya mechi mbili tu ambazo zimepita tangu ligi kuu Tanzania bara ya msimu wa 2021/22 ianze.

Tayari TFF (Wallace Karia) imekwishaanza kuweka mazingira ya kuzalisha viporo kwenye ligi. Yaani ndio kama hivyo, mapeeeeeemaaaaa!

Hebu fikiria. Ratiba ya mechi ya inapelekwa mbele siku saba (7) zaidi ili kufidia changamoto ya usafiri wa kurudi nchini ambayo itawafanya wakawie siku moja (1) tu.

Ikumbukwe. Simba SC wanacheza tarehe 17 huko Botswana na mechi ya ligi kuu ni tarehe 20. Hivyo basi hayo masaa 72 za hapo katikati hayawatoshi Simba SC kufika Dar kwa wakati na kucheza na Police Tanzania FC kwa Mkapa?

FBg8Qy0WEAgGMAP.jpg
 
TFF wehu sana ila hawawasaidii simba walikuwa wanauwezo kucheza hiyo tarehe 17 then wakaja kucheza kabla ya 24 na hiyo game ikawasadia kurekebisha mapungufu
 
Sijui kwanini kila time wenzako wanapo jaribu kutumia nguvu kubwa kuwaaminisha watu kua sio kweli kwa kauli ya manara aliyodai mashabiki wa yanga wenye utimamu ni baba yake na kikwete peke yao, wewe umekua mstari wa mbele kuwakatisha tamaa wenzako?
 
Fikiria simba wacheze tar 17 waje wacheze tar 20 halafu warudiane na jwaneng tar 24. Mechi tatu ndani ya siku saba wewe uto unaona sawa ? Inavyooneka hukujua kama simba watarudiana na jwaneng tar 24, una mikurupuko ili mradi tu umeandika.
 
Back
Top Bottom