cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kosa ni la Simba kuwepo CAFCL au kosa ni la Yanga kutolewa CAFCL, Huko utopoloni kutafuta mwenye akili ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kosa ni la Simba kuwepo CAFCL au kosa ni la Yanga kutolewa CAFCL, Huko utopoloni kutafuta mwenye akili ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi
Mkuu hakuna shabiki wa Yanga mwenye akili hata wale wawili waliosemwa na Mzungu pori ni hakuna kituNgoja nikueleweshe simba anatakiwa acheze Botswana tareh 17 akimaliza kucheza hapo bado kuna mechi tena ya marudiano tareh 24 huon ndomana hiyo mech ya tareh 20 wamepeleka tareh 27
Simba ikodi ndege kuwahi ili Yanga wasilalamikie viporo.Simba si ni timu Kubwa, wanashindwaje kukodi Ndege?
Simba ikodi ndege kuwahi ili Yanga wasilalamikie viporo.
Ule mkataba ni tembo mweupe. Hakuna kitu zaidi ya ze komed showTayari Wana mkataba na ATCL. Sasa wanashindwaje kupata usafiri wa bei Chee kutoka kwa mfadhili wao?
Umejuaje kama Yanga msimu huu IPO Vizuri sana?si zimepita mechi mbili 2 na wameshinda kimojakimoja na wameshatolewa Champions League?umejuaje sasa kama wapo Vizuri?Kama TFF itakuwa imebadilisha ratiba kutokana na ratiba za ndege ni sawa na haipaswi kulaumiwa kwani ratiba za ndege sio kama za mabasi ya mikoani ambapo likijaa tu dereva anawasha gari safari inaanza. Lakini kama ratiba za ndege zipo vizuri basi TFF wanapaswa kulaumiwa kwa kubadilisha ratiba.
Kwa upande mwingine kwenye hili suala naona mashabiki wa hizi timu kubwa mbili kila mmoja anavutia upande wake. Lakini wanapaswa wakumbuke kuwa viporo vinaweza kuwa faida au hasara kutokana na matokeo ya hivyo viporo.
Masahabiki wengi wa Simba wanafurahia sana ratiba kusogezwa mbele lakini wanasahau kuwa mwaka huu timu zipo vizuri sana na hasa mtani wao Yanga kwa hiyo iwapo Yanga atakuwa kashinda mechi zake hapo ndipo balaa litakapoanza kwa mashabiki, benchi la ufundi na hasa kwa wachezaji wa Simba. Kwani watakuwa wanacheza kwa presha kubwa ili kufukia pengo la pointi matokeo yake ndio wanaweza kujikuta wanaharibu. Na Simba wanapaswa wawe makini sana kwani mwaka huu Yanga wana timu imara sana na hawana mashindano ya mengine zaidi ya ligi kwa hiyo "concentration" yao itakuwa kubwa sana kwenye ligi. Na Simba ikifanya vibaya kwenye viporo basi mashabiki hawa hawa wa Simba wanaofurahia leo kubadilishwa ratiba ndio hao hao watakuwa wa kwanza kuilaumu timu yao kwa kukubali kubadilishiwa ratiba na wataenda mbali zaidi kuilaumu TFF kwa nini imebadilisha ratiba
Mashabiki wengi wa Yanga wanalalamika sana kuhusu kubadilishwa ratiba kwa kusogezwa mechi za Simba mbele. Lakini iwapo Yanga watafanya vizuri kwenye mechi zake za ligi halafu Simba akavurunda kwenye viporo basi ni mashabikii hawa hawa wataisifu timu yao na hutosikia kelele tena kwa TFF kubadilisha ratiba. Kinachotakiwa kwa Yanga sasa hivi wao wasilalamikie viporo wala nini bali wao wapambane wapate pointi tatu kwenye kila mechi ya ligi inayokuja mbele yao halafu wakae watulie wamwangalie Simba atakavyohangaika na viporo vyake kwani mwaka huu kila timu kwenye ligi ipo vizuri.
Kwa Yanga kama wanataka ubingwa kweli pambaneni chukueni pointi tatu kila mechi halafu tulieni juu ya msimamo wa ligi hapo hata mpinzani akiwa na viporo kumi vitakuwa havina shida sana sana ni matatizo tu kwake kwani atakuwa na presha ya kufanya vizuri na hapo ndio kuvurunda kunaanzia. Kwa Simba wao wasifurahie hivi viporo kwani mwaka huu timu zipo vizuri kwenye ligi kwani hakuna tena timu za kujichukulia pointi kirahisi zote zinakaza hasa. Na pia Simba wanapaswa kujifunza kilichowakuta kwa Kaizer walipokaa muda mrefu bila kucheza mechi ya ligi wakaenda kukutana na dhahama kule Afrika Kusini.
Kwa hiyo ukiingia mkataba na TBL /pepsi/coca unaanza tu kila mechi mnajaziwa vinywaji mashabiki mnywe?Hawa si waliingia mkataba na ATCL kwa safari za ndege za Air Tanzania.
Wakimaliza game Tar 17 jioni hiyo hiyo wanapanda dege lao wenyewe mpk Tz hata kabla siku haijapinduka, na Tar 20 wanakichafua ligi kuu, halafu tar 24 wanamalizana hao waswana
Hio kwanza inakupa faida ya game fitness, rejea game ya simba na Kaizer chipsi kule South, kumbuka simba alikuwa hajacheza mechi yoyote kwa muda wa siku takribani 12 na akafika kule akala mkono kasoro moya
Kumywa maji baridi ya masafi +Mo Energy, halafu Legeza misuli ya kichwa hicho ww kolo mweusiKwa hiyo ukiingia mkataba na TBL /pepsi/coca unaanza tu kila mechi mnajaziwa vinywaji mashabiki mnywe?
Kwani GSM anauza nini na nini? Mnazitumia zote?
Au vile Arsenal na visit Rwanda basi lazima wafike Rwanda?
Utopo bana. Inawaumaaaaa iombeeni simba ifanye vzr ili mwakani mshiriki tena.
Kwa hivyo Simba kucheza na Jwaneng tar 24 then siku tatu baadae acheze na Polisi Tz wewe unaona ni siku nyingi sana?Kama TFF itakuwa imebadilisha ratiba kutokana na ratiba za ndege ni sawa na haipaswi kulaumiwa kwani ratiba za ndege sio kama za mabasi ya mikoani ambapo likijaa tu dereva anawasha gari safari inaanza. Lakini kama ratiba za ndege zipo vizuri basi TFF wanapaswa kulaumiwa kwa kubadilisha ratiba.
Kwa upande mwingine kwenye hili suala naona mashabiki wa hizi timu kubwa mbili kila mmoja anavutia upande wake. Lakini wanapaswa wakumbuke kuwa viporo vinaweza kuwa faida au hasara kutokana na matokeo ya hivyo viporo.
Masahabiki wengi wa Simba wanafurahia sana ratiba kusogezwa mbele lakini wanasahau kuwa mwaka huu timu zipo vizuri sana na hasa mtani wao Yanga kwa hiyo iwapo Yanga atakuwa kashinda mechi zake hapo ndipo balaa litakapoanza kwa mashabiki, benchi la ufundi na hasa kwa wachezaji wa Simba. Kwani watakuwa wanacheza kwa presha kubwa ili kufukia pengo la pointi matokeo yake ndio wanaweza kujikuta wanaharibu. Na Simba wanapaswa wawe makini sana kwani mwaka huu Yanga wana timu imara sana na hawana mashindano ya mengine zaidi ya ligi kwa hiyo "concentration" yao itakuwa kubwa sana kwenye ligi. Na Simba ikifanya vibaya kwenye viporo basi mashabiki hawa hawa wa Simba wanaofurahia leo kubadilishwa ratiba ndio hao hao watakuwa wa kwanza kuilaumu timu yao kwa kukubali kubadilishiwa ratiba na wataenda mbali zaidi kuilaumu TFF kwa nini imebadilisha ratiba
Mashabiki wengi wa Yanga wanalalamika sana kuhusu kubadilishwa ratiba kwa kusogezwa mechi za Simba mbele. Lakini iwapo Yanga watafanya vizuri kwenye mechi zake za ligi halafu Simba akavurunda kwenye viporo basi ni mashabikii hawa hawa wataisifu timu yao na hutosikia kelele tena kwa TFF kubadilisha ratiba. Kinachotakiwa kwa Yanga sasa hivi wao wasilalamikie viporo wala nini bali wao wapambane wapate pointi tatu kwenye kila mechi ya ligi inayokuja mbele yao halafu wakae watulie wamwangalie Simba atakavyohangaika na viporo vyake kwani mwaka huu kila timu kwenye ligi ipo vizuri.
Kwa Yanga kama wanataka ubingwa kweli pambaneni chukueni pointi tatu kila mechi halafu tulieni juu ya msimamo wa ligi hapo hata mpinzani akiwa na viporo kumi vitakuwa havina shida sana sana ni matatizo tu kwake kwani atakuwa na presha ya kufanya vizuri na hapo ndio kuvurunda kunaanzia. Kwa Simba wao wasifurahie hivi viporo kwani mwaka huu timu zipo vizuri kwenye ligi kwani hakuna tena timu za kujichukulia pointi kirahisi zote zinakaza hasa. Na pia Simba wanapaswa kujifunza kilichowakuta kwa Kaizer walipokaa muda mrefu bila kucheza mechi ya ligi wakaenda kukutana na dhahama kule Afrika Kusini.
Mnataka Simba wacheze mechi tatu mfululizo ndani ya siku saba tu ?Simba inaonekana wamekubaliana na TFF kuhusu kuahirishwa kwa mechi hiyo kwa kuhofia wachezaji wao kuumia kabla ya kurudiana na wabotswana.
Miaka 4 yote Simba anakuzalisha unasema uto team kubwaTimu kubwa ni Yanga SC pekee.
Nilisema Hakuna muda kabla malalamiko hayajaanza. Hapa mmeanza na Tff na SIMBA, bado marefa na washika vibendera Ni suala la muda tu.Ni mizunguko ya mechi mbili tu ambazo zimepita tangu ligi kuu Tanzania bara ya msimu wa 2021/22 ianze.
Tayari TFF (Wallace Karia) imekwishaanza kuweka mazingira ya kuzalisha viporo kwenye ligi. Yaani ndio kama hivyo, mapeeeeeemaaaaa!
Hebu fikiria. Ratiba ya mechi ya inapelekwa mbele siku saba (7) zaidi ili kufidia changamoto ya usafiri wa kurudi nchini ambayo itawafanya wakawie siku moja (1) tu.
Ikumbukwe. Simba SC wanacheza tarehe 17 huko Botswana na mechi ya ligi kuu ni tarehe 20. Hivyo basi hayo masaa 72 za hapo katikati hayawatoshi Simba SC kufika Dar kwa wakati na kucheza na Police Tanzania FC kwa Mkapa?
View attachment 1972314
Yanga ni timu kongwe na sio timu kubwa.Miaka 4 yote Simba anakuzalisha unasema uto team kubwa