mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ni kweli wameshindwa wenyewe halafu wanakuja hapa kulia lia!!Ilibidi Yanga wawepo kwenye hii ligi ili nao wafaidi viporo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli wameshindwa wenyewe halafu wanakuja hapa kulia lia!!Ilibidi Yanga wawepo kwenye hii ligi ili nao wafaidi viporo
Mmeanza kulia na Karia 😂😂 yeye ndo aliwaambia mtolewe na Nigeria?Ni mizunguko ya mechi mbili tu ambazo zimepita tangu ligi kuu Tanzania bara ya msimu wa 2021/22 ianze.
Tayari TFF (Wallace Karia) imekwishaanza kuweka mazingira ya kuzalisha viporo kwenye ligi. Yaani ndio kama hivyo, mapeeeeeemaaaaa!
Hebu fikiria. Ratiba ya mechi ya inapelekwa mbele siku saba (7) zaidi ili kufidia changamoto ya usafiri wa kurudi nchini ambayo itawafanya wakawie siku moja (1) tu.
Ikumbukwe. Simba SC wanacheza tarehe 17 huko Botswana na mechi ya ligi kuu ni tarehe 20. Hivyo basi hayo masaa 72 za hapo katikati hayawatoshi Simba SC kufika Dar kwa wakati na kucheza na Police Tanzania FC kwa Mkapa?
View attachment 1972314