Ni kama kulalamika kunyimwa penati ilhali hata shots on target ni zero au hakuna hata goli la offside lililotikisa nyavu.Nipe athari za VIPORO kila timu ishinde mechi zake uone kama viporo vinamaana.
Malalamiko FC mshaanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kama kulalamika kunyimwa penati ilhali hata shots on target ni zero au hakuna hata goli la offside lililotikisa nyavu.
Angejua viporo ni presha balaa hasa kama wapinzani wako wamekuacha points za kutoshaNi kama kulalamika kunyimwa penati ilhali hata shots on target ni zero au hakuna hata goli la offside lililotikisa nyavu.