TFF Ishaanza Kuwasetia Simba SC Viporo Kwenye NBC Premier League

Kwani kosa ni la Simba kuwepo CAFCL au kosa ni la Yanga kutolewa CAFCL, Huko utopoloni kutafuta mwenye akili ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umejuaje kama Yanga msimu huu IPO Vizuri sana?si zimepita mechi mbili 2 na wameshinda kimojakimoja na wameshatolewa Champions League?umejuaje sasa kama wapo Vizuri?
 
Kwa hiyo ukiingia mkataba na TBL /pepsi/coca unaanza tu kila mechi mnajaziwa vinywaji mashabiki mnywe?

Kwani GSM anauza nini na nini? Mnazitumia zote?

Au vile Arsenal na visit Rwanda basi lazima wafike Rwanda?

Utopo bana. Inawaumaaaaa iombeeni simba ifanye vzr ili mwakani mshiriki tena.
 
Kumywa maji baridi ya masafi +Mo Energy, halafu Legeza misuli ya kichwa hicho ww kolo mweusi
 
Kila Mtu ashinde mechi zake!

Yanga mkishinda mechi zenu zote, hamuwezi lalamika!
 
Kwa hivyo Simba kucheza na Jwaneng tar 24 then siku tatu baadae acheze na Polisi Tz wewe unaona ni siku nyingi sana?

Wastani wa kimchezo unadai walau iwe three days kati ya mechi moja nz nyingine sasa hapo TFF imeshasema kuna shida ya usafiri that means Simba wanatarijiwa kurejea bongo tar 18/19 unaforce vipi wacheze Tar 20 kama una ueledi?

TFF wako sawa , na viporo vina presha lakini hata Yanga atakuwa anacheza kwa presha maana anajua fika akizubaa jamaa anakula viporo anakaa kileleni kama msimu uliopita ,at the end mwenye kisu kikali ndiye atakula nyama ,timu nzuri itashinda taji hakuna hoja za viporo wala nini
 
Simba inaonekana wamekubaliana na TFF kuhusu kuahirishwa kwa mechi hiyo kwa kuhofia wachezaji wao kuumia kabla ya kurudiana na wabotswana.
 
Simba inaonekana wamekubaliana na TFF kuhusu kuahirishwa kwa mechi hiyo kwa kuhofia wachezaji wao kuumia kabla ya kurudiana na wabotswana.
Mnataka Simba wacheze mechi tatu mfululizo ndani ya siku saba tu ?
 
Nilisema Hakuna muda kabla malalamiko hayajaanza. Hapa mmeanza na Tff na SIMBA, bado marefa na washika vibendera Ni suala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…