Ni mizunguko ya mechi mbili tu ambazo zimepita tangu ligi kuu Tanzania bara ya msimu wa 2021/22 ianze.
Tayari TFF (Wallace Karia) imekwishaanza kuweka mazingira ya kuzalisha viporo kwenye ligi. Yaani ndio kama hivyo, mapeeeeeemaaaaa!
Hebu fikiria. Ratiba ya mechi ya inapelekwa mbele siku
saba (7) zaidi ili kufidia changamoto ya usafiri wa kurudi nchini ambayo itawafanya wakawie siku
moja (1) tu.
Ikumbukwe. Simba SC wanacheza tarehe 17 huko Botswana na mechi ya ligi kuu ni tarehe 20. Hivyo basi hayo masaa 72 za hapo katikati hayawatoshi Simba SC kufika Dar kwa wakati na kucheza na Police Tanzania FC kwa
Mkapa?
View attachment 1972314