TFF isione noma kusema Simba SC tumezibabea timu 3 kushiriki CA

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
131672599_2011600038979274_9060903643215213460_n.jpg

TFF inasema timu zimeongezeka baada ya "Tanzania" kukusanya alama nyingi. Ni sawa, ila kwani kuna ubaya gani mkisema baada ya Simba Sc Lunyasi timu tishio Afrika na mabingwa watarajiwa wa CAF,kukusanya alama nyingi.

Naiagiza Serikali itoe tamko kuipongeza Simba Sc
 
Ngoja kuna viumbe wa mtaa jiran hapa wakija na hesabu zao hzo point zilivyopatikana utaelewa kazi. utaskia mara point sio za simba peke yake ata sisi(wao) tulichangia enzi zile za FAT sema vp kikubwa kulinda hizi nafasi yasije kuwa kama ya nyuma mara tumepata timu nne badae tunapigwa tena chini
 
"nafasi hizo zimepatikana baada ya Simba SC kukusanya alama nyingi zaidi kwenye viwango vya CAF"
 
Ngoja kuna viumbe wa mtaa jiran hapa wakija na hesabu zao hzo point zilivyopatikana utaelewa kazi. utaskia mara point sio za simba peke yake ata sisi(wao) tulichangia enzi zile za FAT sema vp kikubwa kulinda hizi nafasi yasije kuwa kama ya nyuma mara tumepata timu nne badae tunapigwa tena chini
🤣🤣🤣🤣
 
Naona wachezaji watakuwa na muda mfupi wa kupumzika.

Ligi kuu inaisha July, kisha August kuna Simba day na Yanga day. Hakuna pre season

September kinaumana tena. Kuna umuhimu TFF irekebishe ratiba ya ligi ili iishe mapema.
 
View attachment 1825319

TFF inasema timu zimeongezeka baada ya "Tanzania" kukusanya alama nyingi. Ni sawa, ila kwani kuna ubaya gani mkisema baada ya Simba Sc Lunyasi timu tishio Afrika na mabingwa watarajiwa wa CAF,kukusanya alama nyingi.

Naiagiza Serikali itoe tamko kuipongeza Simba Sc
Hizi alama zilizoongezeka ni Simba pekee ndio amechangia, sasa sijui hawa TFF wanaogopa nini kuwapa Simba Credits zao
 
Back
Top Bottom