TFF isione noma kusema Simba SC tumezibabea timu 3 kushiriki CA

Ngoja kuna viumbe wa mtaa jiran hapa wakija na hesabu zao hzo point zilivyopatikana utaelewa kazi. utaskia mara point sio za simba peke yake ata sisi(wao) tulichangia enzi zile za FAT sema vp kikubwa kulinda hizi nafasi yasije kuwa kama ya nyuma mara tumepata timu nne badae tunapigwa tena chini
 
"nafasi hizo zimepatikana baada ya Simba SC kukusanya alama nyingi zaidi kwenye viwango vya CAF"
 
🤣🤣🤣🤣
 
Naona wachezaji watakuwa na muda mfupi wa kupumzika.

Ligi kuu inaisha July, kisha August kuna Simba day na Yanga day. Hakuna pre season

September kinaumana tena. Kuna umuhimu TFF irekebishe ratiba ya ligi ili iishe mapema.
 
Hizi alama zilizoongezeka ni Simba pekee ndio amechangia, sasa sijui hawa TFF wanaogopa nini kuwapa Simba Credits zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…